Biashara ya Mtaji wa Milioni 15

Biashara ya Mtaji wa Milioni 15

Njooni tufanye biashara ya mtandao pamoja Na kampuni ya AIM GLOBAL. Nenda usikilize semina kwa mbeya zinatolewa utawekeza laki tano tu. Lakini utajenga biashara ya kukuingizia mamilioni. Kama unataka kufahamishwa zaidi nitafute kwa 0757409103[/QUOTE
HAMNA LOLOTE HIZO NI PONZI SCHEMES
 
Njooni tufanye biashara ya mtandao pamoja Na kampuni ya AIM GLOBAL. Nenda usikilize semina kwa mbeya zinatolewa utawekeza laki tano tu. Lakini utajenga biashara ya kukuingizia mamilioni. Kama unataka kufahamishwa zaidi nitafute kwa 0757409103
Upigaji huu mchana kweupee
the new DECI was born
 
Naomba mawazo yenu kuhusu biashara ninayoweza kufanya kwa mtaji wa TZS 15,000,000.

Nipo Mbeya Mjini.
Tafuta mshauri wa kifedha akushauri uwekeze soko gani la HISA...
it's like you depost your cash in fixed a/c but here you expect more return in 3 to 5 years.
 
Njooni tufanye biashara ya mtandao pamoja Na kampuni ya AIM GLOBAL. Nenda usikilize semina kwa mbeya zinatolewa utawekeza laki tano tu. Lakini utajenga biashara ya kukuingizia mamilioni. Kama unataka kufahamishwa zaidi nitafute kwa 0757409103
ACHA UTAPELI
 
Kwa usawa huu ni bora utunze tu. Subiri had magufuli atoke madarakan.

Usiposikiza ushaur wangu, utajuta sana
Watu kama ninyi hamfai kwenye jamii kwa maendeleo.hapa muomba ushauli angesema hali ni mbaya mngesema jamaa kabana.lakini kwa kua mshikaji amepiga pesa ana m15 zake zimekuuma na kuanza kumsingizia mtu mwingine utafikili huyo mtu ataenda kwa mtoa mada kununua bidhaa..sikiliza bwana,ktk kipindi kigumu kwako wengine wanapiga pesa kwa kazi zao au biashara zao,mmekalia kuwasikiliza wanasiasa tu ambao kimsingi wako kazini wanatafuta pesa na wako tayali kuongea lolote kwa maslahi yao kiuchumi.nanyi mnakurupuka tu,usitoe ushauli wa kumkatisha mtu tamaa kwa sababu za siasa na akilk yako inavyokutuma.ni afadhari ukakaa kimya kama huna cha kusema.wanaoendelea na biashara zao wapo wanaofanikiwa na mtoa mada anaona ndiyo maana yeye hajasita kupambana kuweka pesa zake sehemu itakayo zalisha na kukua kiuchumi

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Point....hakuna mwanasiasa ambaye anasaidia mwananchi ni porojo tu
 
Unajuaje ameztoa wap? Kma kauza nyumba ya urithi je? Angekuwa anabiashara ndko kapta iyo pesa hta hasingeangaika kutafta ushaur.

Biahara ni science sio usanii bhna. Kma mazingira hyaruhusu hata uende kwa mganga, lazma vyuma vkze.
 
Kua mtu mzima ndugu,acha mambo ya kitoto kukatisha watu tamaa hapa duniani,ni dhambi..mtu akiomba ushauli ndo useme hawezi fanya jambo eti labda aliuza nyumba ya urithi??why?wanaofanya walizaliwa navyo wakajua biashara au ufugaji au kilimo n.k?mpe mtu unachojua chenye faida na siyo kumtoa kwenye mawazo endelevu

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Back
Top Bottom