Biashara ya mtaji wa milioni 2

Biashara ya mtaji wa milioni 2

Natafuta mtu wa kuniwezesha milion 10 Niko kahama offer ya 50% miezi Saba njoo WhatsApp +255755846814
 
Pombe kali za kupima ila sidhani kama utafikisha ilo tarajio lako mapema Mkuu
 
Wakuu samahani nimekwama hapa, nawaza ni biashara gani naweza fanya ya mtaji wa milioni 2 nikapata faida pamoja na rejesho la kila wiki shilingi elfu 90, kwa mwenye wazo anisaidie tafadhali
BOSS WANGU HYO PES NINYING SNA ME NLIANZ namtaji wa 1.5 na ss naingiza 460 kwa mwezi kwawil naingiza zaid ya 70 issue ndgo tu
 
Njoo kariakoo tafuta meza.
Meza zinatofautiana bei kutokana na mitaa, zinaanzia moja mfano mitaa ya aggrey na sikukuu, 150k,200 mpaka 300k kwa mwezi mitaa ya congo.

Kuhusu kulipa inategemea na muhusika na swaga zako na miezi, unaweza anza lipa miezi3,minne mpaka6.

Tukija kwenye biashara kuna vijora😂😂hii kitu watu wanadharau ila ni hatari, sababu nashinda huku naona.

Kuna vitu vya urembo kama hereni, cheni n.k
Kuna kuuza visendo vya watoto wakike.
Kuna kuuza mitumba.

Kwangu hizo ni biashara nzuri na unaweza rudisha pesa

NB( biashara inahitaji akili na uchangamfu in tx Dullah voice)

Karibu mkuu tupambane

Nina shida na meza Kariakoo, hivi unaanzia wapi kutafuta?
 
Wakuu samahani nimekwama hapa, nawaza ni biashara gani naweza fanya ya mtaji wa milioni 2 nikapata faida pamoja na rejesho la kila wiki shilingi elfu 90, kwa mwenye wazo anisaidie tafadhali

Mimi naingiza 120k kila wiki kwa mtaji wa 1.7M tu huu ni mwaka wa 7 sasa
 
Njoo Kariakoo tafuta meza. Meza zinatofautiana bei kutokana na mitaa, zinaanzia moja mfano mitaa ya aggrey na sikukuu, 150k, 200k mpaka 300k kwa mwezi mitaa ya Congo.

Kuhusu kulipa inategemea na muhusika na swaga zako na miezi, unaweza anza lipa miezi3, minne mpaka 6.

Tukija kwenye biashara kuna vijora😂😂hii kitu watu wanadharau ila ni hatari, sababu nashinda huku naona.

Kuna vitu vya urembo kama hereni, cheni n.k
Kuna kuuza visendo vya watoto wa kike.
Kuna kuuza mitumba.

Kwangu hizo ni biashara nzuri na unaweza rudisha pesa

NB(Biashara inahitaji akili na uchangamfu in tx Dullah voice)

Karibu mkuu tupambane
Nielekeze nije Fasta, maana hali si shwari
 
Back
Top Bottom