Biashara ya mtandao ²

Biashara ya mtandao ²

Joined
Jan 10, 2015
Posts
78
Reaction score
27
BIASHARA ya Mtandao ni njia ya kisasa
ya usambazaji wa bidhaa kutoka
kiwandani hadi kumfikia mteja au
mtumiaji moja kwa moja. Hivyo,
kiwanda kinazalisha bidhaa tu. Halafu
kuna mtu mmoja tu ambaye ni
msambazaji anayehusika na kufikisha
bidhaa kwa mteja. Katika mfumo wa
biashara za kawaida, kiwanda huzalisha
bidhaa kasha huwauzia labda Depot au
mawakala wakuu. Hawa huwauzia tena
wasambazaji au wauzaji wa jumla, nao
pia huwauzia wauzaji wa rejareja
ambao watamfikishia mteja. Kwahiyo,
bidhaa inaweza kuzalishwa kiwandani
kwa tsh 380 lakini mteja ataipata kwa
tsh 600. Kuna tsh 220 inagawanywakwa
watu wa katikati. Lakini hapo hapo
utagundua kiwanda hakipati faida
kubwa sana kwa sababu, katika hiyo
hiyo 380 kuna gharama za usambazaji,
kuwalipa macelebrities kwa ajili ya
matangazo, radio, television, mabango,
magazeti na hata mitandao ya kijamii,
pamoja na gharama za sales
department na mengineyo. Mwisho wa
siku, utakuta kiwanda unaweza kukuta
katika 380, baada ya kutoa gharama
zote labda 180 ndiyo inaweza kubaki
kama faida.
Katika biashara ya mtandao, ile 220
ambayo inagawanywa kwa watu wa
katikati, anapewa mtu mmoja tu
ambaye ni msambazaji atakayenunua
bidhaa toka kiwandani kwa tsh 380 na
kumfikishia mtumiaji kwa tsh 600.
Hivyo, kiwanda hakitalipia tena
gharama za matangazo, mabango
pamoja na nyingine ila kitamuelimisha
huyo msambazaji kuhusu bidhaa ili
yeye sasa aweze kumfikishia mtumiaji
moja kwa moja. Hivyo kiwanda
kinampa msambazaji uhuru wa
kuwashirikisha watu wengine ambao
watakuwa washirika wake katika
biashara ili aweze kukuza biashara
yake. Atawafundisha hao washirika
wake katika biashara ili nao wawe na
uwezo wa kufanya kama yeye. Lakini
atanufaika kwa kila mtu
anayemshirikisha katika biashara kwa
kupata asilimia za mauzo ya hao
pamoja na timu zao
Atakuwa amegawa muda wake vizuri
na kutengeneza kipato kizuri hata yeye
asipofanya kazi, endapo atajenga timu.
Lakini tambua kila mmoja ana fursa
sawa ya kutengeneza kipato. Kipato
kikubwa hutegemea jinsi mtu
atakavyokuwa na timu kubwa kwa
kuwashirikisha watu wengi katika
biashara. Msingi wa hii biashara ni
kushirikishana habari kuhusu bidhaa au
huduma inayotolewa na kampuni halafu
unanufaika na kutengeneza kipato.
Lakini una uhuru wa kuanzisha kampuni
yako `invisible company` ambapo
utafanya biashara na kampuni na
kutanua wigo wa biashara yako kwa
kuwekeza muda wako kuwafundisha
wengine biashara ambao watakuwa
washirika wako kwenye biashara kwa
kuwa na kipato kisichokuwa na kikomo.
Hayo ni maelezo mafupi tu kuhusu
biashara ya mtandao japo ni biashara
kubwa sana na inahitaji kujifunza kwa
kina na kuielewa kwani ili ufanikiwe
katika biashara ya mtandao lazima
ujifunze upate kuielewa vizuri, hapo
utafanikiwa. Nimekutana na watu wengi
walioshindwa hii biashara, karibia wote
nimegundua hawakuwa na uelewa
mzuri wa biashara. Hapa huhitaji pesa
ili utengeneze pesa, ila unahitaji
maarifa. Kama huna maarifa ya kutafuta
pesa unaweza leo ukashinda tuzo ya
shilingi million 100, lakini baada ya miez
3 ukawa kapuku wa kutupwa!.
Kuna watu wengi maarufu duniani
wanaoamini katika hii biashara
akiwemo Robert Kiyosaki Mwandishi
wa vitabu vya Rich dad poor dad
pamoja na vingine kama The business
of 21 st century. Ameelezea vizuri sana
hii biashara. Lakini yupo Professor Pat
Utomi wa Pan African University
anasema `Network marketing is the
futuristic way of doing business now`.
Bwana Bill Clinton pia katika hotuba
yake alikuwa akiyashukuru makampuni
ya network marketing kwa kuwapa watu
fursa sawa na kubadilisha maisha yao.
Lakini pia Bill Gates, aliwahi kuulizwa
kama angefilisiwa na kuanza upya
angefanyeje?. Yeye alisema tu kwamba
angechagua biashara ya mtandao.
Lakini wapo wengine wengi
wanaoiamini na kuwashauri watu
wanaotaka mabadilko waifanye.
Kuna makampuni zaidi ya 5,000
yanayofanya biashara ya mtandao
duniani. Hivyo unapotaka kufanya jaribu
kuangalia kampuni bora. Mimi kampuni
ninayofanya nayo, iko katika kumi bora
kidunia kwa miaka mingi sana. Kwa
Afrika na Tanzania ni namba moja.
Nakushauri pia wewe unayependa hii
biashara, usikurupuke ilimradi biashara
ya mtandao, ila angalia kampuni
itayokufaa. Lakini biashara ya mtandao
sio `get rich quick scheme`, japo kuna
watu wanatengeneza pesa nyingi ndani
ya muda mfupi sana na kubadilisha
maisha yao. Ni kitu ambacho kwa
wakati mwingine kitakuchukua muda
kuyapata mafanikio. Inaweza
kukuchukua pengine hata mwaka
mmoja kuanza kuona matokeo
makubwa/kutoboa kama waswahili
wanavyosema. Ila mafanikio yakija/
ukitoboa tambua huwa ni ya kudumu.
Unapoamua kufanya biashara hii
usimsikilize mtu, ielewe biashara halafu
uamue kama inakufaa kwa kulinganisha
marketing plan na ndoto zako. Ukiona
inakufaa, nakushauri anza maramoja.
Ukitaka ushauri kutoka kwa watu
utakutana na watu wa aina 3. Aina ya 1
ni wale wasiojua lolote kuhusu hii
biashara na watakwambia haifai. Kundi
la 2 ni wale waliowahi kuisikia, huenda
hata kuifanya halafu wakashindwa. Hao
watakupa sababu za kushindwa. Aina
ya mwisho ni wale wanaofanya na
wamefanikiwa na wanakushauri uifanye
na kukuahidi sapoti ya kutosha.
Nakuomba usikilize hili kundi la
mwisho. Tambua hili ni kundi dogo
sana kwani dunia imegawanyika, wengi
ni watu wenye mtazamo hasi, waoga na
hawana ndoto kubwa, au wana ndoto
kubwa ila huacha hofu kuwazuia
kufanya maamuzi sahihi.
Mi nakumbuka nilipoambiwa mara ya
kwanza kuhusu hii biashara, kuna rafiki
yangu wa karibu sana nilimshirikisha.
Lakini alinivunja moyo na kunikatisha
tamaa. Mimi sikumsikiliza kwa sababu
nilijua maisha ni yangu na nimeshaona
fursa. Nilianza kuifanya na baada ya
muda mi sikumwambia kitu kuhusu
pesa ninayotengeneza kwa mwezi ila
aliona mabadiliko. Alikuja na kunambia
anataka kuanza naye biashara, hadi leo
yuko kwenye biashara na anafanya
vizuri sana, anafurahia kipato. Hii
hunipa picha kwamba, hii biashara
inaweza kumtimizia mtu yeyote ndoto
zake endapo atakuwa na fikra sahihi na
kujifunza biashara. Ila sisi tuko tayari
kutoa sapoti kwa yeyote anayetaka
kuanza hii biashara ili kuhakikisha
anafanikiwa nasi tuweze kufanikiwa pia
kwani huu ndio msingi wa biashara hii.
Kama una roho mbaya huwezi
kufanikiwa hata kidogo na hii biashara
haikufai, nakushauri tafuta biashara
nyingine. Hii ni biashara ya watu
wanaopenda kuwasaidia wengine pia
wafanikiwe. Mimi nilipoanza biashara
nilianza kuwashirikisha Ndugu, jamaa
na marafiki, leo hii nimegusa maisha
yao kwa kiasi kikubwa sana na
wananishukuru na kuniombea.
Hizi ni baadhi ya sababu, kwanini
ufanye biashara ya soko la mtandao: 1.
Mtaji kidogo. Hii biashara haihitaji mtaji
mkubwa sana. Mtaji unaoweza kuanza
nao ni M. 1. 5 kima cha juu. Lakini
haihitaji duka, wala haihitaji kutembeza
bidhaa mtaani kama machinga wala
haihitaji vibali. Kampuni imeandaa
mfumo mzuri wa kuuza bidhaa ambao
tunautumia. Lakini unapofanya nasi
unapata free license ya kufanya
biashara ktk nchi zaidi ya 160 duniani.
2. Mafunzo ya biashara bure na
usaidizi. Kampuni imeandaa mfumo
mzuri wa biashara ambapo utapata
mafunzo ya biashara na usaidizi wa
karibu hadi uwe na uwezo wa
kusimama na kuitanua biashara yako
kitaifa au hata kimataifa.
3. Flexibility. Hapa nazungumzia uhuru
wa kupanga muda wako katika kuifanya
biashara yako. Unaweza kuifanya kwa
muda wako wa ziada angalau masaa
10 kwa wiki au unaweza kuamua
kuifanya kwa muda wako wote. Watu
wengi huanza kwa muda wa ziada,
wakiona wamefanikiwa hufanya kwa
muda wote.
4. Vipato vikubwa. Ni biashara ambayo
itakupa vipato vikubwa ndani ya muda
mfupi sana ukilinganisha na biashara
zingine nyingi. Jitihada zinahitajika ili
kuijenga biashara yako iweze kukua na
kukupa faida kubwa. Kitu cha msingi ni
kuwa na uelewa mkubwa wa hii
biashara. Lakini ukifanya nasi biashara
katika kampuni yetu utakutana na njia
zaidi ya 10 za kutengeneza vipato
katika kampuni. Ndiyo maana watu
wanatengeneza vipato vikubwa sana.
5. Uwezo wa kuikuza biashara yako
mahali popote pale duniani. Hii ni fursa
ambayo unaipata katika hii biashara
bure kwa kufanya biashara na watu
sehemu nyingine duniani bila ugumu
hata pengine wewe usipokuwepo huko.
6. Inarithika. Kitu ambacho nakipenda
sana katika hii biashara ni kuweza
kuirithisha. Utakapoishia ndipo yule
mrithi wako ataanzia na kuendeleza.
Hivo unapofanya hii biashara tambua
umefanya investment ya maisha yako
na vizazi vyako.
7. Ina rasilimali muda `leverage` hii ni
siri kubwa sana ya mafanikio katika
biashara yeyote kubwa na ndio msingi
wa mafanikio. Watu wote waliofanikiwa
katika biashara zao kubwa ni wazi
kuwa wamewekeza katika rasilimari
muda.
8. Ni njia pekee ya kumiliki biashara
kubwa duniani. Hii biashara ina sifa
zote za biashara kubwa, biashara
yeyote kubwa ina mambo makuu 3
yafuatayo; Bidhaa/huduma, mfumo
pamoja na Timu au watu wanaofanya
kazi. Kwa Tanzania ili biashara iitwe
kubwa lazime uwe na watu kuanzia 100
wanaokufanyia kazi. Kidunia idadi
inayotakiwa ili iitwe biashara kubwa ni
kuanzia watu 500. Lakini hii biashara
unaweza kuwa idadi kubwa zaidi
ambapo utakuwa na watu ambao
hujawaajiri wala huwalipi mshahara ila
umewekeza muda wako kuwafundsha
biashara ili wafanye kile unachofanya
waweze kufanikiwa nawe ufanikiwe
maradufu.
9. Ni biashara ya kisasa ambayo
inakwenda na wakati. Kila fursa ina
wakati wake. Huu ndio wakati muafaka
wa hii fursa. Hapa kwetu Tanzania
imeanza muda sio mrefu sana lakini
imebadilisha maisha ya watu wengi.
10. Imejengwa katika dhana ya
DUPLICATION ambayo kwa mujibu wa
Mwanasayansi Robert Einstein aliandika
katika moja ya vitabu vyake kuwa;
mfumo wowote unaobeba dhana hii
itakuwa ni maajabu ya 8 ya dunia. Ziko
faida nyingi sana na kuna picha kubwa
sana ya biashara ambayo unatakiwa
kuielewa kama wewe ni mtu makini, una
ndoto kubwa na unahitaji mabadiliko ya
kweli katika maisha yako.
Jukumu letu ni kukusaidia na
kukuongoza ili kuhakikisha unafanikiwa.
Kama umevutiwa na unapenda kujua
zaidi kuhusu biashara hii. Ni PM, ili
nikuoneshe marketing plan yetu,
ukipenda tuanze biashara. Ila nahitaji
watu ambao wako serious tu, wenye
ndoto kubwa na mtazamo sahihi,
ambao wako tayari kujifunza kupitia
wengine ambao wanafanya hii biashara
na wamefanikiwa.
Hii biashara sio ya kila mtu, hivyo
ndivyo mimi naamini na ndivyo ilivyo.
Hii ni biashara ya watu ambao
wanahitaji mabadiliko katika maisha
yao. Mabadiliko huanza na kubadili
fikra. Tuna msemo kuwa, huwezi
kubadili maisha yako ikiwa hauko tayari
kubadili fikra zako. Huwezi kufika
sehemu tofauti endapo fikra ni zilezile
na matendo ni yaleyale. Watu
waliofanikiwa wanafikiria tofauti, eti?.
NEPTUNUS UPENDO WETU NDIO MAFANIKIO YETU.
0752997088
 
Network Marketing REALLY Does Work!
Multilevel marketing works for a number of
reasons, and the three main ingredients for
success with this business model are residual
income, duplication and leveraging of time and
money. A multilevel business opportunity makes
the most of all three of those important principles.
Residual income
Network marketing provides a business
opportunity that allows people with no special
skills or previous experience to create lasting
streams of residual income without making large
initial investments.
Duplication
The networking business opportunity involves
many ordinary people that do a little rather than a
few experts doing a lot. The work is simple, easy
to teach and easy to learn.
Time and money leveraging
Networking allows people to leverage time and
money thereby gaining more of both, because
networkers benefit from the efforts of other people
as well as from their own efforts. In addition,
everyone in the organization has the same
opportunity to earn as much as the other members
can earn.
Network marketing will always work
According to Robert Kiyosaki, the economy of the
world has moved ahead, and multilevel marketing
is a major business for the 21st century.
 
Back
Top Bottom