Forever living wanaopata pesa ni watu wa juu tu kama unapesa ucjaribu kupeleka huko uza ata PIPI itakutoa kuliko forever utaishia kuwa na stress biashara hizo kwa nchi za wenzetu ndo watu wanatoka Ila mtanzania gni anauwezo wa kununua dawa ya meno kwa 10,000? Think twice