Habari wadau, nahitaji kujuzwa kiukweli.. kuhusu biashara ya mtandao km vile forever living. ni kweli inakuwa na faida ulilinganisha na biashata zingine km kuuza duka?
Forever living wanaopata pesa ni watu wa juu tu kama unapesa ucjaribu kupeleka huko uza ata PIPI itakutoa kuliko forever utaishia kuwa na stress biashara hizo kwa nchi za wenzetu ndo watu wanatoka Ila mtanzania gni anauwezo wa kununua dawa ya meno kwa 10,000? Think twice
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.