MGODOLO
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 209
- 174
Mimi nataka kufungua biashara ya mitumba, Na mitumba hio naagiza kutoka Kenya, na Ni BALO MBILI TU, Zenye thamani ya Laki 6 kwa zote mbili... Kwa mtaji huo, nina uhakika siwezi kuwa na mauzo yanayozidi milioni 4 (kwa lengo la kodi)
Je, Kuna njia gani naweza kuzifuata za mwenye mauzo chini ya milioni 4, ili kuepuka usumbufu wa hawa watendaji wa serikali maana najua serikali sio mbaya ila baadhi ya watendaji wake ndio wabaya kulingana na tamaa ndogondogo, hivyo ili kuepuka usumbufu wao, nipite njia gani ili biashara iwe huru
Nitakuwa na flemu, lakini pia nitatembeza mitaani hata mjini
Naomba ushauri tafadhali