Biashara ya mtumba, mtaji laki sita, (mauzo chini 4m). Nifanyeje kuepuka usumbufu wa watendaji?

MGODOLO

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2020
Posts
209
Reaction score
174
Mimi nataka kufungua biashara ya mitumba, Na mitumba hio naagiza kutoka Kenya, na Ni BALO MBILI TU, Zenye thamani ya Laki 6 kwa zote mbili... Kwa mtaji huo, nina uhakika siwezi kuwa na mauzo yanayozidi milioni 4 (kwa lengo la kodi)

Je, Kuna njia gani naweza kuzifuata za mwenye mauzo chini ya milioni 4, ili kuepuka usumbufu wa hawa watendaji wa serikali maana najua serikali sio mbaya ila baadhi ya watendaji wake ndio wabaya kulingana na tamaa ndogondogo, hivyo ili kuepuka usumbufu wao, nipite njia gani ili biashara iwe huru

Nitakuwa na flemu, lakini pia nitatembeza mitaani hata mjini

Naomba ushauri tafadhali
 
Kwa kuongeza jambo nililosahau, Hivi haya mauzo ya milioni 4, ni pamoja na mtaji au ni faida pekee ndio iwe mauzo ya milioni 4,

Samahani kwa swali kwasababu hatuna uelewa zaidi wa mambo haya
 
Mimi nataka kufungua biashara ya mitumba, Na mitumba hio naagiza kutoka Kenya, na Ni BALO MBILI TU, Zenye thamani ya Laki 6 kwa zote mbili... Kwa mtaji huo, nina uhakika siwezi kuwa na mauzo yanayozidi milioni 4 (kwa lengo la kodi)

Je, Kuna njia gani naweza kuzifuata za mwenye mauzo chini ya milioni 4, ili kuepuka usumbufu wa hawa watendaji wa serikali maana najua serikali sio mbaya ila baadhi ya watendaji wake ndio wabaya kulingana na tamaa ndogondogo, hivyo ili kuepuka usumbufu wao, nipite njia gani ili biashara iwe huru

Nitakuwa na flemu, lakini pia nitatembeza mitaani hata mjini

Naomba ushauri tafadhali
Mauzo ya mil. 4, kwa lengo la kodi ndio nini? Hueleweki ulichoandika na unachouliza.

Mtaji laki 6, mauzo mil 4, kuepuka watendaji, Duuuh!, I see!
 
Mtaji lk6 mauzo 4m ndani ya mda mfupi utakua done kiongozi. Ukitoa mtaji hapo na ushuru na nauli unabaki na 3m c haba ukileta mzigo wa 3m faida 15m patamu usitusau kiongozi.
 
Mauzo ya mil. 4, kwa lengo la kodi ndio nini? Hueleweki ulichoandika na unachouliza.

Mtaji laki 6, mauzo mil 4, kuepuka watendaji, Duuuh!, I see!
Sasa ndugu, we kipi hujaelewa hapo, kwa elimu yako unataka ueleweshwe kama mtoto wa chekechea, niweke maandishi mareeeeefu

Soma vizuri MTAJI WANGU NI LAKI 6, ILA MAUZO YAKE HAYAWEZI FIKIA MILIONI NNE KWA MWAKA ILI NIKADIRIWE KUA MLIPA KODI HALALI

JE? NITUMIE NJIA GANI KUKWEPA USUMBUFU WA WATENDAJI... KWASABABU SIJAFIKIA HICHO KIWANGO CHA MLIPA KODI... LAKINI KULINGANA NA TAMAA YA WATENDAJI, USUMBUFU HAUTOKOSEKANA,.. JE? NI NJIA IPI NITUMIE ILI KUKWEPA USUMBUFU HUO

Ndugu kama bado huelewi, mmmhh basi niache na uzoba wangu, ila kama umeelewa ruksa kunishari
 
Nilidhani ni mimi tu ndo sijaelewa.

Back
Top Bottom