Biashara ya Muvi library

Brown Mduma

Senior Member
Joined
Sep 29, 2020
Posts
180
Reaction score
284
Nilikuwa na wazo la kufungua library ya muvi ambapo nitakuwa nauza cd pamoja na kuweka nyimbo kwenye simu nakutoa huduma zingine kama vile kuwaunganisha watu Facebook, WhatsApp, Instagram n.k lakini Target yangu nikufanya biashara hiyo uswazi ambapo wajanja wa mambo hayo sio wengi. Vifaa vya Kaz ninavyo tayar lkn ningependa kujua upepo ukoje kwa sasa ambao wapo kwenye hii biashara kwamba nitafute sehemu niingie mzigoni au niachane na hiyo biashara...... Kwasababu kuna wadau wanadai kwamba ni biashara ambayo kupata 15K kwa siku ni kitu cha kawaida sana sasa nataka kujua kwamba hii kitu inawezekana? wazoefu wa hii biashara naomba mrejesho apa plz
 
Ninazo 3 kwa hapa dar,ila sasa hivi kipato kimepungua kwa sababu ya hali ngumu ya kiuchumi,sio library tu biashara nyingi sasa hivi hali ngumu,lama unataka kuwekeza huku subiri huu upepo upite
 
Ninazo 3 kwa hapa dar,ila sasa hivi kipato kimepungua kwa sababu ya hali ngumu ya kiuchumi,sio library tu biashara nyingi sasa hivi hali ngumu,lama unataka kuwekeza huku subiri huu upepo upite
Mkuu Makadirio kuna info muhim nahitaj kutoka kwako kuhusu hii business vipi tutiririke??
 
Kuwa na disk za kutosha minimum 15TB zijaze zote alafu kuwa active kupata vitu vipya utafurahia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…