Brown Mduma
Senior Member
- Sep 29, 2020
- 180
- 284
Nilikuwa na wazo la kufungua library ya muvi ambapo nitakuwa nauza cd pamoja na kuweka nyimbo kwenye simu nakutoa huduma zingine kama vile kuwaunganisha watu Facebook, WhatsApp, Instagram n.k lakini Target yangu nikufanya biashara hiyo uswazi ambapo wajanja wa mambo hayo sio wengi. Vifaa vya Kaz ninavyo tayar lkn ningependa kujua upepo ukoje kwa sasa ambao wapo kwenye hii biashara kwamba nitafute sehemu niingie mzigoni au niachane na hiyo biashara...... Kwasababu kuna wadau wanadai kwamba ni biashara ambayo kupata 15K kwa siku ni kitu cha kawaida sana sasa nataka kujua kwamba hii kitu inawezekana? wazoefu wa hii biashara naomba mrejesho apa plz