Biashara ya mwanamke kubeba mimba kwa niaba ya mtu mwingine imeshamiri sana huko ughaibuni

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Na Mama Akishatia saini haruhusiwi hata kugusa mtoto pale atakapojifungua.

Wanaita SURROGACY,

ni njia ya usaidizi wa kuzaa ambapo mwanamke hubeba na kuzaa mtoto kwa ajili ya mtu mwingine au wanandoa.

Kuna aina mbili kuu:

Traditional Surrogacy: Mjamzito hupandikizwa manii ya baba iliyokusudiwa na na baba ana kuwa uhusiano wa ki-genetically na mtoto.

Gestational Surrogacy: Unakuta embryo iliozalishwa kwa njia IVF kwa kutumia yai na manii ya wazazi au wafadhili waliokusudiwa then huhamishiwa kwenye uterasi ya mwanamke mwingine. Mrithi wa mtoto anakuwa hauonganiki mi-geneitically na mtoto huyo.

Mara nyingi njia hii hutumiwa na wale wanaokabiliwa na utasa, wapenzi wa jinsia moja, au watu wasio na waume wanaotaka kupata watoto.

Gharama zinaweza kuanzia makumi ya maelfu ya dollar hadi zaidi ya $100,000, kulingana na eneo, mahitaji ya matibabu, na kama ni ya kujitolea au kulipwa.

Screenshot_20250324-080613.png
 
View attachment 3281459
Niliona moja ya mdada fulani alilipwa na wa china fulani awabebee mtoto, akafuata kila kitu alichoambiiwa na kliniki baadaye baada ya upandikizaji. Kumbe alipojamiana na mmewe akapata hali inayoitwa heteropaternal superfecundation. Ina maana akawa na mapacha amewabeba ila wa baba toauti. yani mtoto mmoja ni wa wale wachina mwingine ni wa mumewe.
Alipojifungua mtoto mmoja black mwingine mchina, wale wachina walikasirika sana, wakachukua mtoto wao na wakagoma kulipa pesa yote kwa ile kliniki iliyomtafuta huyo mdada wakidai kuwa hayakuwa makubaliano kuwa mtoto wao abebwe na mtoto wa mtu mwingine. Dada hivyo hakupokea malipo yote.
 
Aisee too bad
 
Back
Top Bottom