Gays ndo zao huoni picha aliyoweka eti hapo ni baba na mama. dunia ina mamboYupo huyu mcheza mpira anao hao watoto kama wanne hivi.
Yupo Michael Jackson naye anao hao watoto.
Nilitaka kusema ninawatamani ila basi.
Halafu mtoto anazaliwa anawakuta watu wa jinsi moja mwingine anaitwa baba na mwingine mama!!!Mara nyingi njia hii hutumiwa na wale wanaokabiliwa na utasa, wapenzi wa jinsia moja
Niliona moja ya mdada fulani alilipwa na wa china fulani awabebee mtoto, akafuata kila kitu alichoambiiwa na kliniki baadaye baada ya upandikizaji. Kumbe alipojamiana na mmewe akapata hali inayoitwa heteropaternal superfecundation. Ina maana akawa na mapacha amewabeba ila wa baba toauti. yani mtoto mmoja ni wa wale wachina mwingine ni wa mumewe.Wanaita SURROGACY,
ni njia ya usaidizi wa kuzaa ambapo mwanamke hubeba na kuzaa mtoto kwa ajili ya mtu mwingine au wanandoa.
Kuna aina mbili kuu:
Traditional Surrogacy: Mjamzito hupandikizwa manii ya baba iliyokusudiwa na na baba ana kuwa uhusiano wa ki-genetically na mtoto.
Gestational Surrogacy: Unakuta embryo iliozalishwa kwa njia IVF kwa kutumia yai na manii ya wazazi au wafadhili waliokusudiwa then huhamishiwa kwenye uterasi ya mwanamke mwingine. Mrithi wa mtoto anakuwa hauonganiki mi-geneitically na mtoto huyo.
Mara nyingi njia hii hutumiwa na wale wanaokabiliwa na utasa, wapenzi wa jinsia moja, au watu wasio na waume wanaotaka kupata watoto.
Gharama zinaweza kuanzia makumi ya maelfu ya dollar hadi zaidi ya $100,000, kulingana na eneo, mahitaji ya matibabu, na kama ni ya kujitolea au kulipwa.
View attachment 3281459
Watu kwa kupenda kuzaa ilq mimba ni mateso kwa wanawake.. Miezi 9 ni mingi sana.Hii nzuri Amna kubambikizia damu ngoja nipate pesa
Aisee too badNiliona moja ya mdada fulani alilipwa na wa china fulani awabebee mtoto, akafuata kila kitu alichoambiiwa na kliniki baadaye baada ya upandikizaji. Kumbe alipojamiana na mmewe akapata hali inayoitwa heteropaternal superfecundation. Ina maana akawa na mapacha amewabeba ila wa baba toauti. yani mtoto mmoja ni wa wale wachina mwingine ni wa mumewe.
Alipojifungua mtoto mmoja black mwingine mchina, wale wachina walikasirika sana, wakachukua mtoto wao na wakagoma kulipa pesa yote kwa ile kliniki iliyomtafuta huyo mdada wakidai kuwa hayakuwa makubaliano kuwa mtoto wao abebwe na mtoto wa mtu mwingine. Dada hivyo hakupokea malipo yote.
Wengi wakishajifungua wanakuwa na matumbo makubwa ..Ni jukumu lao kiasili
Hii ni kufuru kwa Mungu. Hawa wazungu wamefika kiwango cha juu cha uhayawani/uwendawazimu katika eneo hiliHalafu mtoto anazaliwa anawakuta watu wa jinsi moja mwingine anaitwa baba na mwingine mama!!!
Total confusion!!
ππππGays ndo zao huoni picha aliyoweka eti hapo ni baba na mama. dunia ina mambo
Mkuu hayawani hata shetani wenyewe hawafanyi hayo tunayofanya binadamu sasa sijui tumekuwa viumbe gani!!wamefika kiwango cha juu cha uhayawani
Kivipii?Halafu mtoto anazaliwa anawakuta watu wa jinsi moja mwingine anaitwa baba na mwingine mama!!!
Total confusion!!