Biashara ya mwanamke kubeba mimba kwa niaba ya mtu mwingine imeshamiri sana huko ughaibuni

Kwa kabila la wakurya mbona hicho kitu kipo

Mke akiwa hazai au kazeeka humtafuta mwanamke na kumkabidhi mume azae naye akizaa hao watoto wa huyo mwananke sio wake ni wa huyo mama aliyemkabidhi mumewe
 
Kwa uchumi huu mkisikia huu mchongo mnikumbuke ndugu zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…