Biashara ya Nafaka hasa maharage aina zote fika Gairo Kijiji cha Rubeho

Ahsantee sana mkuu wenye Nia wamekupata
 
Maharage unaweza hifadhi kwa muda gani bila kupoteza ubora na kuharikika
 
Hawa wenye matako makubwa ndio waharibifu wa biashara. Wanaleta bei za kidanganyi kwenye biashara.

Kila biashara wanayoingia lazima iingie mdudu isiwe tena na maana. Wananikera sana sana hii type. Hawajui kupiga kazi wanachojua ni kulangua na kuweka mabei ya juu ili waonekane maboss lady na kupata mafanikio ya haraka.

Kuna hawa na wale mabishoo wanaovamia biashara wakitaka kutajirika ndani ya mwezi.
 
Maharage unaweza hifadhi kwa muda gani bila kupoteza ubora na kuharikika
Maharage hayatakiwi kihifadhiwa muda mrefu yanaharibika kwenye ladha yake. Kaa nayo kwa urefu usiozidi msimu ujao. Kwanza kwanini ukae nayo kama lengo ilikuwa ni kununua ufanye biashara?

Mtu anaficha maharage hadi yanakuwa hayafai tena ukija kuyapika yanakaa muda mrefu hayaivi na haya yakiiva ukiyala yanakuwa hayana ladha nzuri yanakuwa utadhani yalipikwa na maji ya chumvi.

Mimi huwa sinunui maharage hadi nione ni msimu wake au kwa muuzaji ambaye analeta mzigo mpya kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…