Biashara ya nafaka

Habarini wana JF naitwa james nipo mwanza , naomba kupata ushauri kutoka kwenu namna na jinsi ya kuendesha biashara ya nafaka , kwa mtu alie na ujuzi zaidi naomba anielimishe
Nafaka gani?be specific,kwani kila biashara ya nafaka ina namna yake ya kuifanya
 
Angalia au fanya utafiti wa soko lipoje kwa nafaka unayotaka kuuza.
Soko kwanza ndiyo first step::::

Cha pili unanunulia wapi na unauzia wapi???

Cha tatu ni transport cost.
 
Mm nimelima mwnyw natarajia kuvuna mwez wa5 mwshon nikivuna nasafrsha kuja dar nafungua kiduka Cha nafaka je mtaji unaweza kuwa shingap?kwny kukod frem na vitu vngne
 
Mm nimelima mwnyw natarajia kuvuna mwez wa5 mwshon nikivuna nasafrsha kuja dar nafungua kiduka Cha nafaka je mtaji unaweza kuwa shingap?kwny kukod frem na vitu vngne
Inategemea na eneo unalotaka kufanya biashara, ushauri tafuta sehem hata uswahilini tu kulikochangamka vizuri sehem ambayo usafiri hausumbui kufikisha mizigo yako kwakuwa unalima mwenyewe fungua tu hata uswahilini kukwepa gharama kubwa za kodi, ila ungekuwa unaenda mkoani kununua mazao ningekushauri tafuta sehem ya barabarani au maeneo ya masoko
 
Lak5 inaweza ikatosha kuanzia kod mzan na gharama ndogondgo?
 
Mm nimelima mwnyw natarajia kuvuna mwez wa5 mwshon nikivuna nasafrsha kuja dar nafungua kiduka Cha nafaka je mtaji unaweza kuwa shingap?kwny kukod frem na vitu vngne

Umelima zao gani kiongozi...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…