Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafaka gani?be specific,kwani kila biashara ya nafaka ina namna yake ya kuifanyaHabarini wana JF naitwa james nipo mwanza , naomba kupata ushauri kutoka kwenu namna na jinsi ya kuendesha biashara ya nafaka , kwa mtu alie na ujuzi zaidi naomba anielimishe
Inategemea na eneo unalotaka kufanya biashara, ushauri tafuta sehem hata uswahilini tu kulikochangamka vizuri sehem ambayo usafiri hausumbui kufikisha mizigo yako kwakuwa unalima mwenyewe fungua tu hata uswahilini kukwepa gharama kubwa za kodi, ila ungekuwa unaenda mkoani kununua mazao ningekushauri tafuta sehem ya barabarani au maeneo ya masokoMm nimelima mwnyw natarajia kuvuna mwez wa5 mwshon nikivuna nasafrsha kuja dar nafungua kiduka Cha nafaka je mtaji unaweza kuwa shingap?kwny kukod frem na vitu vngne
Lak5 inaweza ikatosha kuanzia kod mzan na gharama ndogondgo?Inategemea na eneo unalotaka kufanya biashara, ushauri tafuta sehem hata uswahilini tu kulikochangamka vizuri sehem ambayo usafiri hausumbui kufikisha mizigo yako kwakuwa unalima mwenyewe fungua tu hata uswahilini kukwepa gharama kubwa za kodi, ila ungekuwa unaenda mkoani kununua mazao ningekushauri tafuta sehem ya barabarani au maeneo ya masoko
Mm nimelima mwnyw natarajia kuvuna mwez wa5 mwshon nikivuna nasafrsha kuja dar nafungua kiduka Cha nafaka je mtaji unaweza kuwa shingap?kwny kukod frem na vitu vngne
Mahind marage karanga na ufutaUmelima zao gani kiongozi...?
Jamani watalaamu WA soko la Mahindi vp naona yanashukan Bei vp kunakupanda bei tenaMahind marage karanga na ufuta
We mahindi yako yapo wapi mkuuJamani watalaamu WA soko la Mahindi vp naona yanashukan Bei vp kunakupanda bei tena
Nipo handen TangaWe mahindi yako yapo wapi mkuu