Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungesoma hoja zote za cag kabla hujatoa comments,maana kwa muda uke mfupi asingeweza kusema kila kitu,ndio maana umeona yale mabuku makubwa ambayo ndio yameandikwa kila kituBiashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania utawachanganya.
Mimi nadhani tungepewa hesabu nzima, tusiandikiwe tu hasara.
Tupewe pesa iliyotumika kufanya investiment ni kiasi gani kwa ndege zote.
Alafu tuambiwe kila ndege zinaingiza kiasi gani kwa mwaka.
Hiyo ndio hesabu tunayoitaka, Mimi nacho kijua na kukielewa hiyo ni long term business ambayo inatumia higher investiment. Hivyo haiwezi kuleta faida kabla haijafikia payback period.
Twambie kwanza pay back period ilikua ni ya miaka mingapi ndipo uje na hiyo hesabu ya hasara.
Ukitwambia tu hasara hatuwezi kuelewa vizuri.
Maana bado siijui payaback period
Ipo miradi mingi mikubwa ambayo ikiianza usitegemee kupata faida ndani miaka minne, it's impossible. Tuna mradi wa LNG, huo mradi payback period yake ni ndefu sana. Tusitegemee kuja kuanza kupata faida ndani ya muda mfupi. Katika Biashara kubwa lazima uwe mvumilivu.
Mimi kiukweli ningependa kusikia tu return of investiment imefikia kiasi gani basi. Hapo ningechakachua kichwa na kujua wapi tunaelekea.
Hivi vitu vingine vinachekesha sana,hivi nyie wasomi uchwara mbona mnaendekeza sana njaaBiashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania utawachanganya.
Mimi nadhani tungepewa hesabu nzima, tusiandikiwe tu hasara.
Tupewe pesa iliyotumika kufanya investiment ni kiasi gani kwa ndege zote.
Alafu tuambiwe kila ndege zinaingiza kiasi gani kwa mwaka.
Hiyo ndio hesabu tunayoitaka, Mimi nacho kijua na kukielewa hiyo ni long term business ambayo inatumia higher investiment. Hivyo haiwezi kuleta faida kabla haijafikia payback period.
Twambie kwanza pay back period ilikua ni ya miaka mingapi ndipo uje na hiyo hesabu ya hasara.
Ukitwambia tu hasara hatuwezi kuelewa vizuri.
Maana bado siijui payaback period
Ipo miradi mingi mikubwa ambayo ikiianza usitegemee kupata faida ndani miaka minne, it's impossible. Tuna mradi wa LNG, huo mradi payback period yake ni ndefu sana. Tusitegemee kuja kuanza kupata faida ndani ya muda mfupi. Katika Biashara kubwa lazima uwe mvumilivu.
Mimi kiukweli ningependa kusikia tu return of investiment imefikia kiasi gani basi. Hapo ningechakachua kichwa na kujua wapi tunaelekea.
Kwa uandishi huu unaonekana ni Mchumi, lakini lazima ujue tofauti ya mchumi na muhasibuBiashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania utawachanganya.
Mimi nadhani tungepewa hesabu nzima, tusiandikiwe tu hasara.
Tupewe pesa iliyotumika kufanya investiment ni kiasi gani kwa ndege zote.
Alafu tuambiwe kila ndege zinaingiza kiasi gani kwa mwaka.
Hiyo ndio hesabu tunayoitaka, Mimi nacho kijua na kukielewa hiyo ni long term business ambayo inatumia higher investiment. Hivyo haiwezi kuleta faida kabla haijafikia payback period.
Twambie kwanza pay back period ilikua ni ya miaka mingapi ndipo uje na hiyo hesabu ya hasara.
Ukitwambia tu hasara hatuwezi kuelewa vizuri.
Maana bado siijui payaback period
Ipo miradi mingi mikubwa ambayo ikiianza usitegemee kupata faida ndani miaka minne, it's impossible. Tuna mradi wa LNG, huo mradi payback period yake ni ndefu sana. Tusitegemee kuja kuanza kupata faida ndani ya muda mfupi. Katika Biashara kubwa lazima uwe mvumilivu.
Mimi kiukweli ningependa kusikia tu return of investiment imefikia kiasi gani basi. Hapo ningechakachua kichwa na kujua wapi tunaelekea.
PAYBACK PERIOD-time taken to recover the cost of an investiment,kwa hiyo ndege mmenunua nyingi ili payback period ichukue muda mrefu?kwanini tusianza na chache!Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania utawachanganya.
Mimi nadhani tungepewa hesabu nzima, tusiandikiwe tu hasara.
Tupewe pesa iliyotumika kufanya investiment ni kiasi gani kwa ndege zote.
Alafu tuambiwe kila ndege zinaingiza kiasi gani kwa mwaka.
Hiyo ndio hesabu tunayoitaka, Mimi nacho kijua na kukielewa hiyo ni long term business ambayo inatumia higher investiment. Hivyo haiwezi kuleta faida kabla haijafikia payback period.
Twambie kwanza pay back period ilikua ni ya miaka mingapi ndipo uje na hiyo hesabu ya hasara.
Ukitwambia tu hasara hatuwezi kuelewa vizuri.
Maana bado siijui payaback period
Ipo miradi mingi mikubwa ambayo ikiianza usitegemee kupata faida ndani miaka minne, it's impossible. Tuna mradi wa LNG, huo mradi payback period yake ni ndefu sana. Tusitegemee kuja kuanza kupata faida ndani ya muda mfupi. Katika Biashara kubwa lazima uwe mvumilivu.
Mimi kiukweli ningependa kusikia tu return of investiment imefikia kiasi gani basi. Hapo ningechakachua kichwa na kujua wapi tunaelekea.
Nani sasa maana taarifa ya hasara imetoka kwa CAG unataka kusema hana ufahamu kakurupa?acheni ushabiki mpaka kwenye mambo muhimu,huyo CAG hapo alipo kajipachika?Wenzako wanataka ndge zikilvyonunuliwa zilete faida mwaka wa kwanza
Akili kubwa sanaBiashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania utawachanganya.