Ni biashara inayolipa iwapo ukiijulia sema sasa ni kwamba zinamalizwa nguvu na fast jet ambao wana ndege kubwa kama Airbus kwa maana ni kubwa na bado bei nafuu
uzuri wa biashara hii ni kuwa zinakwenda sana remote area kwenye AIRSTRIPS.... hata hivyo kwa ushauri iwapo utataka kufanya biashara hii wekeza business module yako iwe ni kwa ajili ya ku trap watalii kwa maana uwe ndani ya tourism industry... unatrap watalii kupeleka sehemu zote za kitalii unazozijua wewe
unafungua website (proffesional website) naposema proffesional website namaanisha website za dollar 10,000
watalii wana book online mnakuwa mna watu special wa kuongea nao na kufanya arrangement.. then mnawapokea na kuwapeleka kwenye maeneo kama zannzibar, selous, mikumi, serengeti, ngorongoro, manyara n.k
naomba niishie hapa maana ukitaka niendelee zaidi itabidi unilipe
$15,000 ya kukufanyia consultation, na kukuandikia business plan