Biashara ya ndege inalipa?

Biashara ya ndege inalipa?

SPY CATCHER

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
285
Reaction score
187
Hivi inawezekana kufungua biashara ya charter ya ndege kama wanavyofanya Tropical na Coastal.

Inalipa?

Bora kununua mpya au used?

Ndege kama Cessna/caravan ya watu 13 inafika being gani?

Bora kununua USA, South Africa au Europe?

Pre buying inspection inaweza kuja cost how much?
 
Ushauri wa uhakika.
Nenda Pale Airport chuo cha Anga,watakupa data za uhakika
Na pia kama una plan hiyo na kuambiwa matokeo yake,basi nenda kasomee mambo hayo pale chuo.
Kuna kozi kibaooo.
 
Ni biashara inayolipa iwapo ukiijulia sema sasa ni kwamba zinamalizwa nguvu na fast jet ambao wana ndege kubwa kama Airbus kwa maana ni kubwa na bado bei nafuu
uzuri wa biashara hii ni kuwa zinakwenda sana remote area kwenye AIRSTRIPS.... hata hivyo kwa ushauri iwapo utataka kufanya biashara hii wekeza business module yako iwe ni kwa ajili ya ku trap watalii kwa maana uwe ndani ya tourism industry... unatrap watalii kupeleka sehemu zote za kitalii unazozijua wewe
unafungua website (proffesional website) naposema proffesional website namaanisha website za dollar 10,000

watalii wana book online mnakuwa mna watu special wa kuongea nao na kufanya arrangement.. then mnawapokea na kuwapeleka kwenye maeneo kama zannzibar, selous, mikumi, serengeti, ngorongoro, manyara n.k

naomba niishie hapa maana ukitaka niendelee zaidi itabidi unilipe

$15,000 ya kukufanyia consultation, na kukuandikia business plan
 
Mie nilifikiri ndege kuku, bata na kware, nilishakuja ku share maujuzi nyanja hizo. So ngoja nipite kimya kimya tu sasa.

Haaa haaa haaa! kaazi kweli kweli....ila jamaa ameleta changamoto sana kufanya wadau kufikiri mambo makubwa zaidi. Ngoja wajuzi watoe maelezo mahsusi.
 
Hivi inawezekana kufungua biashara ya charter ya ndege kama wanavyofanya Tropical na Coastal.

Inalipa?

Bora kununua mpya au used?

Ndege kama Cessna/caravan ya watu 13 inafika being gani?

Bora kununua USA, South Africa au Europe?

Pre buying inspection inaweza kuja cost how much?

Kama unahitaji ufanyiwe research ya project yako na kuandaliwa business plan yako tupo kwa ajili yako unaweza ni pm
 
Ni biashara nzuri sana,
Ukiweza kuwekeza kwenye
1.Ndege
2.Meli
3.Treni
 
Issue ni kuwa hatutaki kufanya bongo. Tunaendelea kufanya Congo. I know ni high risk country lakini tunaangalia ku break even within few months kwani jamaa wako desperate kichizi
 
Issue ni kuwa hatutaki kufanya bongo. Tunaendelea kufanya Congo. I know ni high risk country lakini tunaangalia ku break even within few months kwani jamaa wako desperate kichizi

He....!!!!!.......
 
Aisee.........charter eeeh.......

kwanza nikuulize swali la awali........upo,wapi.........?........tuanzie hapo.......
 
Back
Top Bottom