Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 839
Kwa hapa Moshi kuna Ndizi nyingi sana. Kumetokea mafuriko ya ndizi kiasi kwamba Mkungu unauzwa mpaka Shilingi 500. Ndizi zinaivia na kuozea shambani hamna walaji na soko la ndizi limeshuka sana, ukisikia msimu hatari wa ndizi ndo huu. Kwa mwenye mtaji anaweza safirisha akapata faida kubwa sana.