Biashara ya ndizi

Biashara ya ndizi

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
839
Kwa hapa Moshi kuna Ndizi nyingi sana. Kumetokea mafuriko ya ndizi kiasi kwamba Mkungu unauzwa mpaka Shilingi 500. Ndizi zinaivia na kuozea shambani hamna walaji na soko la ndizi limeshuka sana, ukisikia msimu hatari wa ndizi ndo huu. Kwa mwenye mtaji anaweza safirisha akapata faida kubwa sana.
 
Hehehehe aisee embu fanya uandike vizuri basi tukuelewe bana au umevimbiwa ndizi?
 
Mkuu hiyo ni fursa, tafuta namba ulete MZA, kwa Sasa ndizi zimeadimika, kwa MV Victoria haifanyi kazi, na wananchi mwanza wanategemea sana ndizi toka Bukoba
 
Back
Top Bottom