Biashara ya Ng'ombe Dar es salaam

Biashara ya Ng'ombe Dar es salaam

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,656
Reaction score
722
habari wana JF
poleni na mihangaiko ya kimaisha. Naomba yeyote mwenye uelewa wa hii Biashara ya Ngombe kununua mikoani mfano Dodoma na kisha kuuza Dsm au Morogoro naomba ushauri tafadhari.
 
Tupeni uzoefu jamani wengu tunatamani tufanye
 
Back
Top Bottom