Ahsanteni wakuu
Nilisikia kuna wanaowanunua kipindi cha uhaba wa Malisho kwa wafugaji na kuzileta dar kisha kuzilisha miezi kadhaa zinanawiri then wanaziuza.
Huko Kondoa dodoma na Manyara enzi hizo ilikuwa inaitwa Arusha chini ilikuwa pazuri sana kupata Ng'ombe kwa bei rahisi mkuu but sasa hivi sijui wapi unaweza kupata kwa bei rahisi mkuu
Tembelea minada ya mikoani.Kwa kuanzia nenda igunga kila jmamosi kuna mnada kuanzia saa tatu asubuhi.Kajifunzie pale,utajua bei ambayo kiukweli hutegemeana na msimu na pia utajua minada mingine kama ndala kahama nk
Inategemea Na Msimu Na Maeneo Wap Wajanja Wanao Nunua Ng'ombe Kwa Lak Moja Ama Mbil Wana Mlipa Mtu Wa Kusindkiza Akifka Dar Wakiuza Unampa Na Yey Lak Moja Pamoja Na Hla Ya Kumrudisha Hata Kama Gal Lna Rud Alipo Toka ,pia Kua Lazma Uwe Na Vibal Njian Kuna Usumbufu Sana Kwa Mwanzo Utapata Ugumu Sana Hi Biashara Jitolee Na Wew Kutembelea Vijijn Hasa Wakat Wa Manunuz Usipe U Boss Wa Kuagza Kwa Kuwatma Wat Wakakununulie Na Usijishikish Kwa Wauzaj Ni Wajanja Sana Mara Tupeleg Mifug Dar Pamoja Unaweza Lizwa Hadi Uka Cheka Badae Omba Ushaur San Na Tembelea Minadan Has Za Vijijn Mikoan Kupat Uzoef Mwenyew
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.