Biashara ya ng'ombe kutoa mikoani kuleta Dsm

Biashara ya ng'ombe kutoa mikoani kuleta Dsm

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,656
Reaction score
722
yeyote anayefanya biashara hii au kuna mtu anayemjua anayefanya naomba ani PM tuongee.
 
kuna jamaa angu yupo pugu huwa anawanunua pale mnadani na anawauza pale pale.
 
kuna jamaa angu yupo pugu huwa anawanunua pale mnadani na anawauza pale pale.

ebu ni PM namba ya huyo jamaa ,,nataka kumuuliza maswali mawili tu..ntashukuru sana
 
faida nzuri utaipata iwapo utanunulia mikoani,unapakia kwenye gari mpaka hapo pugu
 
kununua pugu na kuuza palepale.unatakiwa uwe mzoefu sana.lasivo itakula kwako.Ni bora ufuate mkoa .
 
Ahsanteni wakuu
Nilisikia kuna wanaowanunua kipindi cha uhaba wa Malisho kwa wafugaji na kuzileta dar kisha kuzilisha miezi kadhaa zinanawiri then wanaziuza.
 
Huko Kondoa dodoma na Manyara enzi hizo ilikuwa inaitwa Arusha chini ilikuwa pazuri sana kupata Ng'ombe kwa bei rahisi mkuu but sasa hivi sijui wapi unaweza kupata kwa bei rahisi mkuu
 
Tembelea minada ya mikoani.Kwa kuanzia nenda igunga kila jmamosi kuna mnada kuanzia saa tatu asubuhi.Kajifunzie pale,utajua bei ambayo kiukweli hutegemeana na msimu na pia utajua minada mingine kama ndala kahama nk
 
Inategemea Na Msimu Na Maeneo Wap Wajanja Wanao Nunua Ng'ombe Kwa Lak Moja Ama Mbil Wana Mlipa Mtu Wa Kusindkiza Akifka Dar Wakiuza Unampa Na Yey Lak Moja Pamoja Na Hla Ya Kumrudisha Hata Kama Gal Lna Rud Alipo Toka ,pia Kua Lazma Uwe Na Vibal Njian Kuna Usumbufu Sana Kwa Mwanzo Utapata Ugumu Sana Hi Biashara Jitolee Na Wew Kutembelea Vijijn Hasa Wakat Wa Manunuz Usipe U Boss Wa Kuagza Kwa Kuwatma Wat Wakakununulie Na Usijishikish Kwa Wauzaj Ni Wajanja Sana Mara Tupeleg Mifug Dar Pamoja Unaweza Lizwa Hadi Uka Cheka Badae Omba Ushaur San Na Tembelea Minadan Has Za Vijijn Mikoan Kupat Uzoef Mwenyew
 
Back
Top Bottom