Biashara ya ng'ombe wa nyama

Biashara ya ng'ombe wa nyama

ckmtoro

Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6
Reaction score
1
Hello members,

Nipo mkoani nina deal ya kuanza kurangua ng'ombe then nipeleke dar kwa aim ya kuwauza. Wenye kujua changamoto zake pls naomba kujuzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nawazawaza niweke mtaji wangu kwenye hii kitu wajuzi wa mambo tupeni mchanganuo......
 
Mkuu hili lakulangua anagalia tu isije ikawa kama korosho, ufugaji ukaingiliwa na jeshi unaweza ukaambiwa kwa kila ng'ombe uonyeshe baba yake na mama yake na wajomba kabla ya konyesha zizi ulilowafugia na uthibitishe uraia wa hao ng'ombe, zama hizi hazitabiriki😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hili lakulangua anagalia tu isije ikawa kama korosho, ufugaji ukaingiliwa na jeshi unaweza ukaambiwa kwa kila ng'ombe uonyeshe baba yake na mama yake na wajomba kabla ya konyesha zizi ulilowafugia na uthibitishe uraia wa hao ng'ombe, zama hizi hazitabiriki😀
Sasa tutaenda kufanyia biashara wapi Tz ya kwetu sote ha ha ha.........
 
Mkuu njo pugu mnadani utajifunza kiuhalisia zaidi
 
Back
Top Bottom