Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Biashara ya ngono imekuwa moja ya biashara kongwe tangu enzi na enzi duniani.
Tanzania tumezoea kuona biashara hii ikifanyika kwenye makasino,bar,club,kambi za uvuvi na maeneo mbalimbali ya mji.
Katika eneo la bahari ya Hindi sasa biashara hii imekuwa ikifanyika kati ya wafanyakazi wa meli zilizo eneo la Nangani na wanawake kutoka nchi kavu kwenye mitaa mbalimbali ambao hupelekwa na vijana(mabaharia) ambao hupeleka mahitaji ya vocha na vitu vingine.
Namna biashara inavyofanyika
Baharia au Beach boy utafuta wanawake na kuwapanga kuwa ana mgeni.Au huenda beach moja maarufu ambapo kuna Dada ni Dalali wa wanawake yeye anakupa wanawake kisha unampa pesa ya maji.
Malipo yao
Baada ya beach boy kumpeleka mwanamke melini na boti na mwanamke hupokelewa na mhusika. Kesho asubuhi anapo rudishwa ndiyo beach boy hudai ya udalali.Kwa usiku mmoja mwanamke anaweza akalipwa kuanzia USD 100 na kuendelea kutokana na namna atavyomwaga uno kwa mteja.Beach boy hupewa elfu 20 au Dollar 10.
Changamoto za watoa huduma na beach boy
Boti nyingi zinazoenda kupeleka huduma beach boy wengi wanalalamika kukamatwa na Police Marine kisha kutoa kidogo kitu ili waachiwe.
Nini kifanyike?
Serikali inabidi iangalie maeneo ya beach na itoe elimu ya afya ya Ukimwi kwa wahusika,kuweka mabango,semina na kugawa kondomu bure.
Wale wale wanawake wote nao wapewe elimu na kinga maana wanaingiza pesa ya kigeni.
Nimeambatanisha na audio ambayo ni kipindi cha Redio One Stereo kinachorushwa jioni nilirecord mnamo mwezi wa 4 mwaka huu.
Reference/Credit:
Radio One Stereo- Kipindi kinaitwa Uchunguzi kamili.
Audio hii hapa chini sikiliza yote.