Biashara ya ngono inavyofanyika baharini

Biashara ya ngono inavyofanyika baharini

Kuna Beach moja Kigamboni unakuta huyo Dada dalali kakaa anasubiri umfate akupe chaguo lako.

Kuna siku nilikuwa pale nikapiga nae sana story ana watu wake wanamtegemea ili awaletee huduma.
 
Kuna Beach moja Kigamboni unakuta huyo Dada dalali kakaa anasubiri umfate akupe chaguo lako.

Kuna siku nilikuwa pale nikapiga nae sana story ana watu wake wanamtegemea ili awaletee huduma.
Dah! Ngono inavuruga sana watu
 
dollar mia sio nyingi kwa mtazamo wako wewe?
kwamaana kwamba huyo mwamba akikaa kama mwezi mzima hivi anashusha mzgo atatumia sio chini ya dola 1500 hadi 2000 kwa ajili ya kuttomba tu?
haaa haa haa jiongeze chief,stori nyingi zipo tofauti sana na zinavyosimuliwa mkuu
Unashangaa Dola 100 Tena analala kabisa...hyo pesa ni ndogo, mi nilikua na rafk angu tulikua nchi Fulani tulivofika port tu jamaa akasema nimsindikize akajipooze coz tulishapewa seaman visa.

Tulivofika huko jamaa akaachia Dola 400 Tena ni masaa tu .....so hyo pesa kwa watu wa melin ni kawaida ukizingatia na ugumu unaokua nao mpaka unahs kuchanganyikiwa
 
Unashangaa Dola 100 Tena analala kabisa...hyo pesa ni ndogo, mi nilikua na rafk angu tulikua nchi Fulani tulivofika port tu jamaa akasema nimsindikize akajipooze coz tulishapewa seaman visa.. tulivofika huko jamaa akaachia Dola 400 Tena ni masaa tu .....so hyo pesa kwa watu wa melin ni kawaida ukizingatia na ugumu unaokua nao mpaka unahs kuchanganyikiwa
Hajui maana ya msemo wa "New wife,new port".
 
Story ya kufirika which is too good to be true
Mkuu sio story ya kufikirika ni ukweli mimi muda mwingi nakuwa na hawa beach boys ufukweni. Hiki kitu nimekiona miaka 3 kabla.

Kama unabisha nitakuambia uende fukwe fulani utakutana na mtu yupo hapo anawanadi mabinti utayemtaka lazima uonane naye.
 
Hichi kisa ulichokileta hapa , nimewahi kukisoma mahali japo sikumbuki ni wapi
 
Kwa halii hii siku nikienda Europe sijui kama nitapata demu,, inaonekana wanaliwa kwa mpunga mrefu mno
 
Hichi kisa ulichokileta hapa , nimewahi kukisoma mahali japo sikumbuki ni wapi
Mimi kuna kipindi nilikuwa na project Fulani nilikuwa nakutana na hao beach boys na wanawake wanaenda huko na boti ndogo.

Kama hauamini ngoja project ya boti Fulani ikikamilika nitakupigia picha uwaone wanavyopanda melini au kwenda kisiwani.
 
Mkuu unaona dollar Mia nyingi?

Halafu wanawake wote wa kigamboni unawajua?
Utakesha kubishana naye kwa kuwa anabisha mambo asiyoyajua.
Hiyo hela dola mia inatolewa na wafanyakazi wa meli za nje. Kwa watoto hao ni hela ya kawaida sana.
 
Haya ni mambo ya kawaida duniani kote meli zinapokuwa out ankor, ni kawaida kabisa na wala sio kificho baadhi ya nchi ni biashara ya kawaida na unapokaribia out ankor unaweza kuingia online na kuagiza mchuchu...Manila phillipine huwa wanapanda kwenye boti zao hata mademu 20 then wanapita ship to ship kudrop packages..Dunia inamambo tembea uone..
 
Back
Top Bottom