Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
- Thread starter
-
- #21
Ndio maana ku test mitambo kuhimuUnajikuta umeoa huyo demu kimasihara 😁 Lazima ukumbane na kashfa ya upungufu wa nguvu za kiume.
Dah! Ngono inavuruga sana watuKuna Beach moja Kigamboni unakuta huyo Dada dalali kakaa anasubiri umfate akupe chaguo lako.
Kuna siku nilikuwa pale nikapiga nae sana story ana watu wake wanamtegemea ili awaletee huduma.
Vipi unataka uende nn? Changamkia fursa dadayaani kwa usiku mmoja demu alipwe dollar mia?
hawa wanawake wa Sinza au wanatokea wapi hao mademu wa kulipwa hiyo hela?
kkuma weweVipi unataka uende nn? Changamkia fursa dada
Kwani mkuu ww unadhani dollar 100 ni kidogo?Umenichekesha sanaaa...
Kama 230k. Ya kawaida hii.. mkuuKwani mkuu ww unadhani dollar 100 ni kidogo?
Ya kawaida kwako mkuu, kumbuka tunatofautianaKama 230k. Ya kawaida hii.. mkuu
Unashangaa Dola 100 Tena analala kabisa...hyo pesa ni ndogo, mi nilikua na rafk angu tulikua nchi Fulani tulivofika port tu jamaa akasema nimsindikize akajipooze coz tulishapewa seaman visa.dollar mia sio nyingi kwa mtazamo wako wewe?
kwamaana kwamba huyo mwamba akikaa kama mwezi mzima hivi anashusha mzgo atatumia sio chini ya dola 1500 hadi 2000 kwa ajili ya kuttomba tu?
haaa haa haa jiongeze chief,stori nyingi zipo tofauti sana na zinavyosimuliwa mkuu
Hajui maana ya msemo wa "New wife,new port".Unashangaa Dola 100 Tena analala kabisa...hyo pesa ni ndogo, mi nilikua na rafk angu tulikua nchi Fulani tulivofika port tu jamaa akasema nimsindikize akajipooze coz tulishapewa seaman visa.. tulivofika huko jamaa akaachia Dola 400 Tena ni masaa tu .....so hyo pesa kwa watu wa melin ni kawaida ukizingatia na ugumu unaokua nao mpaka unahs kuchanganyikiwa
Story ya kufirika which is too good to be trueBiashara ya ngono imekuwa moja ya biashara kongwe tangu enzi na enzi duniani....
Mkuu sio story ya kufikirika ni ukweli mimi muda mwingi nakuwa na hawa beach boys ufukweni. Hiki kitu nimekiona miaka 3 kabla.Story ya kufirika which is too good to be true
Hichi kisa ulichokileta hapa , nimewahi kukisoma mahali japo sikumbuki ni wapiMkuu sio story ya kufikirika ni ukweli mimi muda mwingi nakuwa na hawa beach boys ufukweni. Hiki kitu nimekiona miaka 3 kabla.
Kama unabisha nitakuambia uende fukwe fulani utakutana na mtu yupo hapo anawanadi mabinti utayemtaka lazima uonane naye.
Niliyo ambatanisha ni audio ya kipindi cha Uchunguzi kamili kinachorushwa na Radio One Stereo na ilikuwa mnamo tarehe 17/04/2020Hichi kisa ulichokileta hapa , nimewahi kukisoma mahali japo sikumbuki ni wapi
Mimi kuna kipindi nilikuwa na project Fulani nilikuwa nakutana na hao beach boys na wanawake wanaenda huko na boti ndogo.Hichi kisa ulichokileta hapa , nimewahi kukisoma mahali japo sikumbuki ni wapi
Utakesha kubishana naye kwa kuwa anabisha mambo asiyoyajua.Mkuu unaona dollar Mia nyingi?
Halafu wanawake wote wa kigamboni unawajua?
Wanafunzi wa vyuo. Hii kitu ipo usipingeKigamboni kuna demu wa kulipwa dollar mia kwa one night?
Kwani wanao kaa huko sio wanawake mkuu?Kigamboni kuna demu wa kulipwa dollar mia kwa one night?