ndegemzungu
Member
- Mar 10, 2019
- 92
- 246
kwa hiyo nani mamba na kenge ni nani ?[emoji44]
Sijui hata nimefata nini kwenye huu uzi!!
Kweli kwenye msafara wa mamba na kenge tumo..[emoji28]
Mamba ni wale wanaohusika na mada a.k.a wanunuaji..
hahahahahahMamba ni wale wanaohusika na mada a.k.a wanunuaji..
Kama utataka nikutajia na kenge ni kina nani jaribu kuiuliza avatar yako kwanza itakuonyesha..[emoji28]