Biashara ya ngono inayofanywa mitandaoni

Tatizo sio pesa ni tabia mbona mpaka developed countries hii biashara inafanyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena kweli mkuu, shida si umaskini tu bali uhitaji wa ngono. Wenzetu Ulaya wanazo Red Light District, unajichagulia tu na starehe za mwanzo tangu kuumbwa kwa dunia (kwa wanaoamini) ni pombe na wanawake na ndio ukweli hadi leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…