Biashara ya ngono na namna inavyokomeshwa

Wamehamia bagamoyo!
 
Ila hapa nawasikitia waheshimiwa wabunge wetu tu, sijuwi watakuwa wanajivinjali wapi kama hii biashara ikiwa inapigwa vita hivi.
 
Watengeneza gongo hawawezi acha kutengeneza iwapo wateja wenye kiu ya gongo bado wapo.

Vivyo hivyo, wateja wanaohitaji huduma za malaya, wapo na wataendelea kuwapo. Uhitaji wao ni fursa kwa wengine wanaohitaji pesa. Ni fursa tu kama ilivyo fursa ya kuvusha watu mgongoni kwenye shida za mafuriko.
Ndio maana dunia nzima wameshindwa kupambana na hiyo biashara.
 
Hapo ndo unanishindaga Dr hayaland.. unadhani maskini wote hawana akili au hawashirikishi akili? Mbona unaongea kirahis rahis mkuu

Yes mkuu Ila kujitoa ufahamu ,kujiuza ,kuwa mdangaji chanzo kikuu sio umasikini ni swala la kutoipa nafasi akili ili kuchagua njia sahihi.


Wapo wanawake wengi wametoka ktk umasikini Kwa kujishughulisha na kazi halali na kutoboa.
 
Yes mkuu Ila kujitoa ufahamu ,kujiuza ,kuwa mdangaji chanzo kikuu sio umasikini ni swala la kutoipa nafasi akili ili kuchagua njia sahihi.


Wapo wanawake wengi wametoka ktk umasikini Kwa kujishughulisha na kazi halali na kutoboa.
Ulishawah kuona mwanaume anauza kinyamborero barabaran kama wafanyavyo wanawake? Je kwa nn haitokei kwa wanaume?
 
Wakati mnafikiria kuwakomesha wanayojiuza barabara vitoto vya 2005 vishaingia digital
 
Kuna wanawake mabosi wakubwa ktk taasisi mbalimbali na bado wanadanga. Usione kila siku wanatupostia picha kwenye mandege, wanaenda kudanga huko. So kudanga ni asili ya mtu na tamaa za kuwa na maisha ya juu. The same applies kwa wanaume, wapo wengi tu ambao ni mchicha mwiba sababu ya tamaa tu za maisha ya juu.
 
apo ni zaidi ya umaskini

ni matokeo ya laana zinazotembea kwa vizazi na vizazi.

zile amri za mungu zina maana sana tuzifuate
 
Unatakaaa ndoa zetuu zifee wale ndio wanalinda ndoa zetuu mkuu mpakaleoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…