Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau samahani, naomba kujua wapi au nani anaweza kujua kama kuna uhitaji wa ngozi za mbuzi, ninashehena ya kutosha sana, kama kuna mdau anajua lolote plz call 0652036191
Ni check kwa simu yangu, lakini tunahitaji vibali fulani...?
Mtwara wanapika soup ya ngozi[emoji23]vipi wadau ninauwezo wa kukusanya ngozi za mbuzi kwa wingi ila soko sijajua nijulisheni namba yangu ni 0624077498 au 0764103725
Uko wapiWadau samahani, naomba kujua wapi au nani anaweza kujua kama kuna uhitaji wa ngozi za mbuzi, ninashehena ya kutosha sana, kama kuna mdau anajua lolote plz call 0652036191