Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Kama hizo nguo ni chupi za kike naomba niwe business partner wako dear!
 
Behavourist wewe ni msambazaji wa chupi! nimi nataka fanya biashara hiyo!
 
Behavourist wewe ni msambazaji wa chupi! nimi nataka fanya biashara hiyo!
Mimi bado siyo msambazaji ila naipenda sana biashara hiyo ya kuuza chupi za kike na ninatafuta busness partner wa kike ambae ni mdada na siyo mmama ili nianze kufanya nae, upo tayari dear?
 
Mimi bado siyo msambazaji ila naipenda sana biashara hiyo ya kuuza chupi za kike na ninatafuta busness partner wa kike ambae ni mdada na siyo mmama ili nianze kufanya nae, upo tayari dear?
Dear nani wewe ,hebu njoo unishike ndevu!
 
Dear nani wewe ,hebu njoo unishike ndevu!
Looooooh!!! Jamani ni vyema avatar zenu zikawa zinatambulisha jinsia zenu pia!!....ilibakia kidogo sana nikutongoze PM!!....... Na hiyo picha hapo kwenye avatar yako ulivyo cute nilikuwa nimesha-expect kupata mzigo wa maana!
 
hahahaa dah,halafu dume zima laweka avatar ya kike likitongozwa lanuunaa kweli kweli...
 
Tusaidiane jamani, mmenifungua mno macho ya biashara, nina mtaji lakini nilikuwa na maswali kichwani bila majibu, asante nimeyapata majibu hapa,Mungu akijalia wiki ijayo niende UG, lakini nilitaka kujua kwenye swala la kubadili pesa yaani tsh to UG sh, au usd to ugsh kipi ni bora na wapi pazuri kubadili yaani ubadilishie hapa tz au ukabadili UG? Asante
 
Baada ya hio miaka yote mtupe maendeleo yenu kwenye biashara mlizofuata uganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…