Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina kibanda kidogo nataka nianze biashara ya vipodozi 500k inatosha kuanzia??
nina milioni moja na nusu inatosha boss?Nakuelekeza Kama mzoefu
500,000 ni ndogo sana kwa sababu vipodozi vipo aina nyingi na kila mtu Ana chaguo lake
Ila unaweza unaanza na local products
Kwa mfano
Tressa
Parachute
Moulding gels
Na creams Za Bei rahisi zisizidi 5,000 kWa jumla
Kutokea hapo utaandika Vitu vinavyouliziwa sana na utakua unaongeza kidogo kidogo..
Ukihitaji vipodozi kutoka SA na Nigeria
Kindly DM
Akikujibu niite niitikenina milioni moja na nusu inatosha boss?
Mtaji uwe kiasi gani kwa duka lenye muonekano mzuriNakuelekeza Kama mzoefu
500,000 ni ndogo sana kwa sababu vipodozi vipo aina nyingi na kila mtu Ana chaguo lake
Ila unaweza unaanza na local products
Kwa mfano
Tressa
Parachute
Moulding gels
Na creams Za Bei rahisi zisizidi 5,000 kWa jumla
Kutokea hapo utaandika Vitu vinavyouliziwa sana na utakua unaongeza kidogo kidogo..
Ukihitaji vipodozi kutoka SA na Nigeria
Kindly DM
Nashukuru maelezo yako basi ntajitahidi ifike 1mNakuelekeza Kama mzoefu