Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Samahan wakuu, hii taarifa ni ya mda kidogo apprx miak6 nyuma, tungependa mwenye taarifa za curretly kuhusu hili suala anaweza tusaidia pia sisi wenye mahitaji ya hiyo biashara kwa sasa

Ansanteni
 
Hembu tupe mrejesho bado Uganda vitu vipo chini au bei imepaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inavyoonyesha ya Jana yamekuwa si ya Leo watu wameamua wapotee mazima! Ila ni ungwana kama watu wangetueleza ukweli na uhalisia Wa mambo kwa sasa!
 
Shukran kk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…