Biashara ya nguo za mitumba ina faida?

Biashara ya nguo za mitumba ina faida?

Kijana 1

Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
6
Reaction score
1
Mimi ni kijana ninahangaika kutafuta riziki kila siku, naomba kujua kama biashara ya nguo za mtumba ina faida? Namaanisha kununua belo na kuuza mojamoja.

Msaada please
 
Biashara yeyote ya mtumba inafaida, kuanzia nguo. Magari, vifaa vya majumbani n.k n.k

Logic iko hivi " unapo nunua hawaitaki, unayeenda kumuuzia anaiona mali" unainunua kwa kulilia, unaenda kuuza kwa kulinga, haina bei elekezi kama soda, bia au mfuko wa cement.

So Go for it Bro.....usipoteze muda.
 
Ahsante sana
 
Ndio ina faida, na hasara pia ipo. Vyote vipo
 
Both

Vya kike tafuta zile simple alaf kitu kigumu (long lasting) nenda alfajiri ilala kapoint. Kipige maji na brash la maana then uza.

Hata vya kiume point moker ya maana unapiga maji unauza watu bado wako gizani.
Shukrani boss
 
Biashara yeyote ya mtumba inafaida, kuanzia nguo. Magari, vifaa vya majumbani n.k n.k

Logic iko hivi " unapo nunua hawaitaki, unayeenda kumuuzia anaiona mali" unainunua kwa kulilia, unaenda kuuza kwa kulinga, haina bei elekezi kama soda, bia au mfuko wa cement.

So Go for it Bro.....usipoteze muda.
Kitu kizuri
 
Back
Top Bottom