Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara yeyote ya mtumba inafaida, kuanzia nguo. Magari, vifaa vya majumbani n.k n.kMimi ni kijana ninahangaika kutafuta riziki kila siku, naomba kujua kama biashara ya nguo za mtumba ina faida? Namaanisha kununua belo na kuuza mojamoja.
Msaada please
Nakazia"kama haina faida kwanini watu wanaifanya"
unachukulia wapi mitumba?Mimi ni kijana ninahangaika kutafuta riziki kila siku, naomba kujua kama biashara ya nguo za mtumba ina faida? Namaanisha kununua belo na kuuza mojamoja.
Msaada please
Wapo watu wanaouza mabelounachukulia wapi mitumba?
NashukuruFanya Viatu Vya Mtumba, Nguo Nguo Inahela
ila Sio Kama Viatu.
Well Nionavyo Mimi
Ahsante sanaBiashara yeyote ya mtumba inafaida, kuanzia nguo. Magari, vifaa vya majumbani n.k n.k
Logic iko hivi " unapo nunua hawaitaki, unayeenda kumuuzia anaiona mali" unainunua kwa kulilia, unaenda kuuza kwa kulinga, haina bei elekezi kama soda, bia au mfuko wa cement.
So Go for it Bro.....usipoteze muda.
Viatu vya kiume au vya kike?unachukulia wapiFanya Viatu Vya Mtumba, Nguo Nguo Inahela
ila Sio Kama Viatu.
Well Nionavyo Mimi
Viatu vya kiume au vya kike?unachukulia wapi
Shukrani bossBoth
Vya kike tafuta zile simple alaf kitu kigumu (long lasting) nenda alfajiri ilala kapoint. Kipige maji na brash la maana then uza.
Hata vya kiume point moker ya maana unapiga maji unauza watu bado wako gizani.
Kitu kizuriBiashara yeyote ya mtumba inafaida, kuanzia nguo. Magari, vifaa vya majumbani n.k n.k
Logic iko hivi " unapo nunua hawaitaki, unayeenda kumuuzia anaiona mali" unainunua kwa kulilia, unaenda kuuza kwa kulinga, haina bei elekezi kama soda, bia au mfuko wa cement.
So Go for it Bro.....usipoteze muda.
KabisaFanya Viatu Vya Mtumba, Nguo Nguo Inahela
ila Sio Kama Viatu.
Well Nionavyo Mimi
Viatu ukiagiza jeKabisa