Biashara ya nguo za ndani za kike (underwears)

Kawa wewe ni mwanaume unapenda kuuza /kuona vitu kama sidiria au chupi za kina dada ina weza kuwa ni kaugonjwa fulani [ FETISH]
 
Safi mkuu , umetema nondo zote
 
Karibu mkuu. Nafurahi kusikia kuwa ulichukua hatua ukaanza na sasa unasonga na umerudi kutoa mrejesho.

Ukiwa na jambo karibu tushauriane.
Sawa kaka ntaludi tena aice maana nimesaga sana sori kutafta ajira almost miaka mi 5 nashukuru niliukumbuka huu mchango wako humu nikabidi niusake nikaufanyia kazi kwa mda huu nipo huku visiwani nakomaa
 
Upo vizuri
 
Habari bro,vipi bado unapambana na biashara ya chupi? Mwanza mzigo ulichukua sehemu gani?
 
Be blassed ni wachache sana wanaweza kufunguka kiasi hiki wengi wabifsi sana
 
Biashara hii kwa Dar haina maana, wanawake wa Dar huwa hawavai chupi! Ni dera ama kijora, kazi kwishney
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…