onike kaponko Member Joined Jul 7, 2023 Posts 5 Reaction score 5 Feb 27, 2024 #1 Naombeni ushauri nahitaji kufungua kampuni ya kuuza nguo za watoto kutoka china na uturuki me na ke kuanzia miaka 2-15 niwe nauzia Wafanyabiashara wakubwa na wadogo vipi kuhusu soko hilo la nguo kwa tanzania
Naombeni ushauri nahitaji kufungua kampuni ya kuuza nguo za watoto kutoka china na uturuki me na ke kuanzia miaka 2-15 niwe nauzia Wafanyabiashara wakubwa na wadogo vipi kuhusu soko hilo la nguo kwa tanzania
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Feb 27, 2024 #2 Soko lipo ila ni la msimu, umejipangaje kwa mtaji?
onike kaponko Member Joined Jul 7, 2023 Posts 5 Reaction score 5 Feb 27, 2024 Thread starter #3 Nimejipanga vizur kabisa