SIMEON KATATANAMA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 479
- 277
POlen kwa majukumu wakuu.
Ninahitaji kuanzisha biashara ya oil (Engine oil) za pikipiki. Naomba kwa mwenye uelewa juu ya upatikanaji wake kwa maduka ya jumlaanisaidie na wapi naweza kununua nikiwa Morogoro. Na pia namna ya kuwa Agent wa oil kama inawezakana.
Natanguliza shukrani.