Emmanuel32
New Member
- Jul 18, 2022
- 4
- 0
Ndugu habari za majukumu naomba anaefaham juu ya soko husika la bei za ngozi ya ng’ombe pamoja na pembe zake soko linapatikana wapi lakini pia nahitaji kufahamu kiundani zaidi kuhusu hii biashara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya biashara ya kitabu utumbo na ile silaha ya jadi, mchina anaachia pesa ndefu. Utakuja kunishukuru.
NitakuPM baadae.Naweza pata mawasiliano na hao wachina ili nipate urahisi wa masoko?
NitakuPM baadae.
Naomb namm uni pm kkFanya biashara ya kitabu utumbo na ile silaha ya jadi, mchina anaachia pesa ndefu. Utakuja kunishukuru.