Biashara ya phone accessories, mtaji wangu ni milioni mbili tu

Biashara ya phone accessories, mtaji wangu ni milioni mbili tu

Joined
Feb 4, 2023
Posts
39
Reaction score
87
Poleni na majukumu wakuu.

Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu.

Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua ofisi ya kuuza vifaa vya simu yaani phone accessories. Na vitu ambavyo ninataka kuanza navyo ni kama ifuatavyo;

Kodi ya frame (hii ni 80k kwa huku nilipo)
Viti 2 vya plastiki ( kwa ajili ya matumizi ya ofisi)
Meza ya aluminium
Makava ya simu
Screen protectors
Chargers
Headphones
Earpods
Memory cards
Flash discs
Battery za simu
USB's
TRA (100k)
Jiji
Visimu vidogovidogo.

Naombeni muongozo wakuu kuhusu kutosheleza kwa mtaji, lakini pia sehemu ya kupata mzigo kwa kariakoo maana mimi nipo mkoani.

Mungu awabariki.
 
Back
Top Bottom