kanyagio
JF-Expert Member
- Dec 10, 2009
- 1,021
- 366
wakuu pole na majukumu,
nipo katika mchakato wa kuanzisha photo studio Dar es salaam (itakuwa ni medium). Studio hii itajishughulisha na upigaji picha portraits kusafisha na kuuza photographic products.
kwa sasa tupo katika ukarabati wa jengo na kununua equipment. naomba msaaa wenu wa kufahamishwa wapi naweza kupata background nzuri pamoja na vile supporting system yake (yaani vitakaposhikizwa kuweza kupandishwa na kushusha". kwa wale ambao watakuwa wameingia photopoint studio au ile ya mwenge watakuwa wanafahamu kitu ninachomaannisha.
nitashukuru sana kwa atayenisaidia kunipa taarifa wapi naweza kupata hapa Dar es salaam.