Biashara ya photo studio & video production

Chief Wingia

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
2,653
Reaction score
4,744
Habari wana jukwaa
Lengo la kuanzisha uzi ni kupeana mbinu na maujanja katika biashara hii maana ni mwaka sasa nipo kwenye hii biashara lakini kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa nane nlianza mkakati wa kufungua studio kwa hivi sasa nina:
*Camera 1 Nikon D3200
*Canon passport size printer
*Panasonic video camera 1 inatumia DV
*Camera stand 1
*Computer 1 (Desktop)
Studio ipo Mkiu, Mkuranga
Hivyo naomba ushauri kuanzia production tools, softwares n.k
Nawasilisha
 
D3200 sidhani kama inashoot video aise labda kwa photoshoot sessions.
Ili usiumie sana na Bajet ni ndogo bora ungetafuta hata Canon 600D halafu ungeifungia lens kali atlist ingekusukuma(nilishawahi fanya hivi). Huku ukijipanga kununua 5d mark II or III. Au hata Sony aSERIES.
computer iwe na uwezo wa kurun Softwares za kueditia(Adobe photoshop, Premiere,in Design, Illustrator, After Effects na nyingine kibao, at list desktop core i3/i5 nk. Ram kuanzia 8 (smooth rendering), processor 3.6, Hdd 1Tb na video card 2GB.
Taa(studio lights) muhimu sijaona umeongelea Taa hapo chief.
 
LossoJR
Shukran mkuu kwa ufafanuzi kutokana na bajeti kuwa finyu ntafanyia kazi hatua kwa hatua kuboresha katika vifaa cunajua mwanzo mgumu
 
Nunua camcorder 4k Sony kwa £450

HD ni vision zinazo potea...
 
Mkuu Nikon D3200 kwa nini isi shoot video? Ungesema hatapata video 4k sawa. Ila Full HD anapata safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…