kanyagio
JF-Expert Member
- Dec 10, 2009
- 1,021
- 366
ndugu wanaJF na hasa wenye ufahamu wa masuala ya photography. kuna business idea inanijia kichwani kuhusu photography studio kama unavyoona PhotoPoint, Creative Image. nimejaribu kufuatilia kwa haya makampuni kudodosa jinsi ya biashara hii, lakini ni ngumu sana kupata kwao. katika kuanza photography business najua unahitajika kuwa na digital minilab, camera, lighting equipment, printers, computer (especially Mac) etc
sasa wanandugu naomba msaada wenu kuhusu masuala haya:
nitashukuru kwa constructive inputs.
sasa wanandugu naomba msaada wenu kuhusu masuala haya:
- Je camera gani ni nzuri
- je Canon 7d inaweza kupiga professional pictures na kuchukua professional video of high quality katika mazingira ya kwetu
- je vifaa gani ni essential katika kuanzisha photography studio
- Je soko likoje
- bei ya equipment zinazohitajika na kama zinapatikana hapa Tanzania au mpaka uagize
- any other information
nitashukuru kwa constructive inputs.