biashara ya photography studio

biashara ya photography studio

kanyagio

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2009
Posts
1,021
Reaction score
366
ndugu wanaJF na hasa wenye ufahamu wa masuala ya photography. kuna business idea inanijia kichwani kuhusu photography studio kama unavyoona PhotoPoint, Creative Image. nimejaribu kufuatilia kwa haya makampuni kudodosa jinsi ya biashara hii, lakini ni ngumu sana kupata kwao. katika kuanza photography business najua unahitajika kuwa na digital minilab, camera, lighting equipment, printers, computer (especially Mac) etc
sasa wanandugu naomba msaada wenu kuhusu masuala haya:
  1. Je camera gani ni nzuri
  2. je Canon 7d inaweza kupiga professional pictures na kuchukua professional video of high quality katika mazingira ya kwetu
  3. je vifaa gani ni essential katika kuanzisha photography studio
  4. Je soko likoje
  5. bei ya equipment zinazohitajika na kama zinapatikana hapa Tanzania au mpaka uagize
  6. any other information

nitashukuru kwa constructive inputs.
 
sijajua kama biashara italipa. but haraka haraka naona ni muhimu kuwa na Mac computer, printer, good camera, background.
in addition to develop product line and marketing strategy.
 
sijajua kama biashara italipa. but haraka haraka naona ni muhimu kuwa na Mac computer, printer, good camera, background.
in addition to develop product line and marketing strategy.
why Mac computer....je hzi zakawaida hazina kiwango? or hyo ni choise yko tu?
SAMAHANI LAKINI
 
kwa printer EPSON ni nzuri na equipment nyingi hapa tz ni ghali au feki, its better ukaagiza sanasana Nairobi bei ni nafuu, kuna makampuni ambayo unaweza oda zikakufikia hapo ulipo, sorry nimeyasahau but ntakupa info nikiyaulizia,.vilevile ukipata watu waaminifu inalipa, na usimamizi mzuri mfano creative studios hapa arusha imefulia kidogo baada ya wafanyakazi kutokua waaminifu na kupiga kazi zao binafsi huko ndani ya ofisi, hii ni kwa mujibu wa mdau wa hapo ila ukipata usimamizi mzuri italipa tu.
 
ameline unaweza kukumbuka majina ambayo uliahidi kuulizia?
 
naomba msamaha kwanza kwa kutokutimiza ahadi, ni kubanwa tu na majukumu,.naomba nikuhakikishie kuwa nitakujibu kwakua nipo hapa nairobi ngoja mambo yatulie kidogo then nipitepite kidogo then ntakupa jibu, ni PM plz
ameline, vipi umeshatoka Nairobi? update ya ombi la juu la contacts?
 
kwa printer EPSON ni nzuri na equipment nyingi hapa tz ni ghali au feki, its better ukaagiza sanasana Nairobi bei ni nafuu, kuna makampuni ambayo unaweza oda zikakufikia hapo ulipo, sorry nimeyasahau but ntakupa info nikiyaulizia,.vilevile ukipata watu waaminifu inalipa, na usimamizi mzuri mfano creative studios hapa arusha imefulia kidogo baada ya wafanyakazi kutokua waaminifu na kupiga kazi zao binafsi huko ndani ya ofisi, hii ni kwa mujibu wa mdau wa hapo ila ukipata usimamizi mzuri italipa tu.
Kaka inalipa sana,nafikiri kama upo Dar ungetembelea pale Mayfair au Mlimani City au Mafuta House(Benjamin Mkapa tower)opp Posta mpya kuna jamaa ana studio zake katika maeneo hayo na anatumia Canon 30 D kama sikosei pia anatumia Mac computers 21'' jamaa anapiga hela ndefu ,utakuta wakati wote watu wanapanga foleni kupiga picha na hata watu wanao oa /olea huenda sehemu hizo kwenda kujifotoa na hizo ni kwa studio kubwa lakini hata ndogo watu hupata pesa maadamu pia upate sehemu ambazo zinakuwa na mkusanyiko wa watu wengi,na pia ufanye kazi kama real pro !
 
ameline, vipi umeshatoka Nairobi? update ya ombi la juu la contacts?

ooh nimerud kaka kuna jamaa fulani nilipita Abee Stationers & Printers Phone +254-203746632
hebu wasiliana nao kaka uwasikie,.
 
hivi ni kweli nairobi hivyo vitu ni nafuu?

ni kweli dada vitu vingi nairobi ni nafuu thats why wajasiria wengi tunakimbilia huku kuliko dar labda bandari ya mombasa ina kaunafuu sijui
 
Vipi Kanyagio, biashara imefika wapi?
Kuna faida zaidi kuwekeza kwenye elimu na ufahamu wa kile unataka kufanya kabla ya kuwekeza kununua vifaa.

Kuna shaka umeonyesha ulipoandika, "sijajua kama biashara italipa". Mimi nikuchokoze kwa kukuuliza kwanini isilipe? Una mpango wa kujitoa kuifanya bila mzaha au unataka "kujaribu"?

Wewe uko kwenye fani fulani na unataka mtu akuendeshee hiyo studio, au ni vipi?
Una mpango wa kuacha shughuli ufanyayo sasa ujikite mwenyewe kwenye fani ya photography?

Nauliza haya kutokana na maswali yako mwanzo wa hii posti. Naweza kukusaidia kwa kiasi fulani kwa ufahamu wa photography nilionao, japo sio kwenye upande wa studio.
 
Back
Top Bottom