Sawa sawa mkuu asante kwa ushauri naamni nitaufanyia kazi.Kama unawezapata eneo lenye wateja wa kutosha.
Uwakala ni mzur zaidi.
Mimi nakushaur anza na kununua pikipiki kwa vile dereva ni ww mwenyewe ukikomaa hyo pikipiki ndio itakupa mtaji wa uwakala halaf unamweka mke wako auze Kama unaye
Mimi nimenunua pikipiki nikampa dereva ananiletea elfu 10 kwa siku.Sawa mkuu..vp lakini una uzoefu wa biashara ya piki piki? kwa maana kwa siku unaeza pata sh ngapi kiwango cha chini?
Mkuu umemaliza yote niliyotaka kusema.Mku uwakala ni second hand project hyo, huwez kurun life kwa kutegemea miala ya fedha, unless uwe giant firm, utakula mtaji soon, pia kupata eneo lenye wateja wengi lazima uvunje kibubu cha kodi ya eneo....bado hujapigwa chuma ulete, matapeli wa mtandao, kukosea miamala, matapeli wa voda, tigo, airtell huko makao makuu, na itakuforce ufunge mapema kuepuka kusasambuliwa kibanda chako na panya road
Boda inalipa sana, huku Mwanza wadau kibao wanajenga nyumba za kisasa kupitia boda aisee, mtu kulala na 20k mpak 50k per day ni kugusa tuu.....
Anza na boda kisha uwakala, kwenye uwakala mweke mtu wa karbu zaid, notably your wife..
japo in the longrun uwakala ni mzur, ukilink na uwakala wa mabenki na uwe na high security, in the short run boda ni nzur kuanza nayo
Kila raheli mkuu
Mimi nakushaur anza na kununua pikipiki kwa vile dereva ni ww mwenyewe ukikomaa hyo pikipiki ndio itakupa mtaji wa uwakala halaf unamweka mke wako auze Kama unaye
Nunua pikipiki kijana ,piga mwenyewe
Asant sana mkuu nimeona umenena vya maana sana na nimepata elimu ya kutosha kiukweliMku uwakala ni second hand project hyo, huwez kurun life kwa kutegemea miala ya fedha, unless uwe giant firm, utakula mtaji soon, pia kupata eneo lenye wateja wengi lazima uvunje kibubu cha kodi ya eneo....bado hujapigwa chuma ulete, matapeli wa mtandao, kukosea miamala, matapeli wa voda, tigo, airtell huko makao makuu, na itakuforce ufunge mapema kuepuka kusasambuliwa kibanda chako na panya road
Boda inalipa sana, huku Mwanza wadau kibao wanajenga nyumba za kisasa kupitia boda aisee, mtu kulala na 20k mpak 50k per day ni kugusa tuu.....
Anza na boda kisha uwakala, kwenye uwakala mweke mtu wa karbu zaid, notably your wife..
japo in the longrun uwakala ni mzur, ukilink na uwakala wa mabenki na uwe na high security, in the short run boda ni nzur kuanza nayo
Kila raheli mkuu
Mtaji mkubwa sio kigezo cha kupata faida unaweza ukawa na mtaj wa ml 2 ukazidiwa na mtu mwenye mtaj wa ml moja silaha ya kwanza ni uaminifu mteja yupo tayar akuachie pesa ukipata froat mtamtumia mm ni wakala mweny mtaj wa kawaida lakn nawafunika weny mitaj mikubwa na kujichetua kunahitajikaMkuu umemaliza yote niliyotaka kusema.
Uwakala utakulipa endapo una mtaji mkubwa sana.
Yaani akija mteja anataka kutoa milioni 3 uwe nayo au kuweka mil 4 asikwame hapo ndio utaenjoy na ukiwa na mtaji mkubwa wa namna hii huwez kuweka uswahilini.
Itakubid utafute fremu sehem yenye hadhi kutokana na sababu za kiusalama yaani kuwe na mlinzi.
Sasa sehem Kama hyo kodi yake tu kwa miezi 6 inazid hyo milioni 2.
Kiufupi hyo milioni 2 haitoshi huwez kuigawanya vizur kwenye mitandao yote na ikunufaishe.
Ila itatosha Kama ni biashara ya kuzugia tu isiwe ya kuitegemea.
Kamanda una muda gani kwenye hiyo biasharaMtaji mkubwa sio kigezo cha kupata faida unaweza ukawa na mtaj wa ml 2 ukazidiwa na mtu mwenye mtaj wa ml moja silaha ya kwanza ni uaminifu mteja yupo tayar akuachie pesa ukipata froat mtamtumia mm ni wakala mweny mtaj wa kawaida lakn nawafunika weny mitaj mikubwa na kujichetua kunahitajika
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Karb mwamba kweny kaz ya uwakala lakn kuna changamoto nyingi ki ukwel unaweza ukakata tamaa mapema lakn nakushauri ni bora ukae mwenyew kibandan uzijue changamoto baada ya hapo unaweza ukaongeza kibanda kingine ukaweka mtuNdugu zangu naombeni ushauri mini ni kijana nipo Dar Es Salaam eneo la ubungo naomba ushauri ipi inafaa kati ya biashara hizo mbili ambazo ni boda boda ya kuendesha mimi kama mimi au uwakala wa huduma za kifedha kwa maana tigo pesa, m pesa na airtel money. Mtaji uliopo ni 2millions .
Miaka mitatu mkuuKamanda una muda gani kwenye hiyo biashara
Safi! Hongera
Kwa mtaji alionao kama akipata sehemu iliyochangamka inapendeza zaida maana atabak kama na mtaj wa 1.3hiyo saba itaisha kweny kupata lain na kukod fremu angalizo la kwanza akipigiwa simu na watu wanaojitambulisha wamekosea pesa akawasikiliza ujue amepigwa nakumbuka mm nilikua kama Nina wiki hivi wakanipigia kwel walifanikiwa kunipiga kama lak tatu chap chap nilitaka kukata tamaaSafi! Hongera
kwa hiyo hapo kutokana na mtoa mada unamshauri/ungemshauri afanye shughuli ya uwakala?