Biashara ya pikipiki/boda boda Vs biashara ya uwakala

dtime

Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
6
Reaction score
1
Ndugu zangu naombeni ushauri mini ni kijana nipo Dar Es Salaam eneo la ubungo naomba ushauri ipi inafaa kati ya biashara hizo mbili ambazo ni boda boda ya kuendesha mimi kama mimi au uwakala wa huduma za kifedha kwa maana tigo pesa, m pesa na airtel money. Mtaji uliopo ni 2millions .
 
Kama unawezapata eneo lenye wateja wa kutosha.

Uwakala ni mzur zaidi.
 
Sawa mkuu..vp lakini una uzoefu wa biashara ya piki piki? kwa maana kwa siku unaeza pata sh ngapi kiwango cha chini?
Mimi nakushaur anza na kununua pikipiki kwa vile dereva ni ww mwenyewe ukikomaa hyo pikipiki ndio itakupa mtaji wa uwakala halaf unamweka mke wako auze Kama unaye
 
Mku uwakala ni second hand project hyo, huwez kurun life kwa kutegemea miala ya fedha, unless uwe giant firm, utakula mtaji soon, pia kupata eneo lenye wateja wengi lazima uvunje kibubu cha kodi ya eneo....bado hujapigwa chuma ulete, matapeli wa mtandao, kukosea miamala, matapeli wa voda, tigo, airtell huko makao makuu, na itakuforce ufunge mapema kuepuka kusasambuliwa kibanda chako na panya road

Boda inalipa sana, huku Mwanza wadau kibao wanajenga nyumba za kisasa kupitia boda aisee, mtu kulala na 20k mpak 50k per day ni kugusa tuu.....
Anza na boda kisha uwakala, kwenye uwakala mweke mtu wa karbu zaid, notably your wife..
japo in the longrun uwakala ni mzur, ukilink na uwakala wa mabenki na uwe na high security, in the short run boda ni nzur kuanza nayo

Kila raheli mkuu
 
Uwakala unalipa kama utakuwa makini na eneo husika paeewe na wateja wa kutosha,
 
Sawa mkuu..vp lakini una uzoefu wa biashara ya piki piki? kwa maana kwa siku unaeza pata sh ngapi kiwango cha chini?
Mimi nimenunua pikipiki nikampa dereva ananiletea elfu 10 kwa siku.
Sijajua dereva anaingiza ngapi kwa siku ila ukiwa shapu huwez kosa elfu 15 hadi 20 kwa siku
 
Mku uwakala ni second hand project hyo, huwez kurun life kwa kutegemea miala ya fedha, unless uwe giant firm, utakula mtaji soon, pia kupata eneo lenye wateja wengi lazima uvunje kibubu cha kodi ya eneo....bado hujapigwa chuma ulete, matapeli wa mtandao, kukosea miamala, matapeli wa voda, tigo, airtell huko makao makuu, na itakuforce ufunge mapema kuepuka kusasambuliwa kibanda chako na panya road

Boda inalipa sana, huku Mwanza wadau kibao wanajenga nyumba za kisasa kupitia boda aisee, mtu kulala na 20k mpak 50k per day ni kugusa tuu.....
Anza na boda kisha uwakala, kwenye uwakala mweke mtu wa karbu zaid, notably your wife..
japo in the longrun uwakala ni mzur, ukilink na uwakala wa mabenki na uwe na high security, in the short run boda ni nzur kuanza nayo

Kila raheli mkuu
Mkuu umemaliza yote niliyotaka kusema.
Uwakala utakulipa endapo una mtaji mkubwa sana.
Yaani akija mteja anataka kutoa milioni 3 uwe nayo au kuweka mil 4 asikwame hapo ndio utaenjoy na ukiwa na mtaji mkubwa wa namna hii huwez kuweka uswahilini.

Itakubid utafute fremu sehem yenye hadhi kutokana na sababu za kiusalama yaani kuwe na mlinzi.

Sasa sehem Kama hyo kodi yake tu kwa miezi 6 inazid hyo milioni 2.
Kiufupi hyo milioni 2 haitoshi huwez kuigawanya vizur kwenye mitandao yote na ikunufaishe.
Ila itatosha Kama ni biashara ya kuzugia tu isiwe ya kuitegemea.
 
Asant sana mkuu nimeona umenena vya maana sana na nimepata elimu ya kutosha kiukweli
 
Mkuu umemaliza yote niliyotaka kusema.
Uwakala utakulipa endapo una mtaji mkubwa sana.
Yaani akija mteja anataka kutoa milioni 3 uwe nayo au kuweka mil 4 asikwame hapo ndio utaenjoy na ukiwa na mtaji mkubwa wa namna hii huwez kuweka uswahilini.
Itakubid utafute fremu sehem yenye hadhi kutokana na sababu za kiusalama yaani kuwe na mlinzi.
Sasa sehem Kama hyo kodi yake tu kwa miezi 6 inazid hyo milioni 2.
Kiufupi hyo milioni 2 haitoshi huwez kuigawanya vizur kwenye mitandao yote na ikunufaishe.
Ila itatosha Kama ni biashara ya kuzugia tu isiwe ya kuitegemea.
Mtaji mkubwa sio kigezo cha kupata faida unaweza ukawa na mtaj wa ml 2 ukazidiwa na mtu mwenye mtaj wa ml moja silaha ya kwanza ni uaminifu mteja yupo tayar akuachie pesa ukipata froat mtamtumia mm ni wakala mweny mtaj wa kawaida lakn nawafunika weny mitaj mikubwa na kujichetua kunahitajika

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Kamanda una muda gani kwenye hiyo biashara
 
Ndugu zangu naombeni ushauri mini ni kijana nipo Dar Es Salaam eneo la ubungo naomba ushauri ipi inafaa kati ya biashara hizo mbili ambazo ni boda boda ya kuendesha mimi kama mimi au uwakala wa huduma za kifedha kwa maana tigo pesa, m pesa na airtel money. Mtaji uliopo ni 2millions .
Karb mwamba kweny kaz ya uwakala lakn kuna changamoto nyingi ki ukwel unaweza ukakata tamaa mapema lakn nakushauri ni bora ukae mwenyew kibandan uzijue changamoto baada ya hapo unaweza ukaongeza kibanda kingine ukaweka mtu

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Safi! Hongera
kwa hiyo hapo kutokana na mtoa mada unamshauri/ungemshauri afanye shughuli ya uwakala?
Kwa mtaji alionao kama akipata sehemu iliyochangamka inapendeza zaida maana atabak kama na mtaj wa 1.3hiyo saba itaisha kweny kupata lain na kukod fremu angalizo la kwanza akipigiwa simu na watu wanaojitambulisha wamekosea pesa akawasikiliza ujue amepigwa nakumbuka mm nilikua kama Nina wiki hivi wakanipigia kwel walifanikiwa kunipiga kama lak tatu chap chap nilitaka kukata tamaa

Back
Top Bottom