Biashara ya playstore application na blogu ina faida gani?

Biashara ya playstore application na blogu ina faida gani?

Saatatu

Member
Joined
May 31, 2013
Posts
83
Reaction score
28
Kwa mud mwingi sana watu wanatengeneza blogu na applications kwenye Playstore ili ziwaingizie kipato.

Je, ni kwa namna gani nitafidika na bligu au kutengeneza application kwenye G/Playsore??

Naomba kutoa hoja.
 
Ninaweza kukupa msaada kwenye blog,call me or whatsapp kupitia 0719568369
Acha utapeli kijana...unataka aje huko uanze kumdanganya danganya..kwanini usimpe msaada hapahapa ili watu wenye maswali kama yake waweze kufaidika
 
Duh...
Nimependa uandishi wako tuu!!!
..
Nikipata muda narejea na najibu kwa kina.
Inshort: faida utaipata kupitia Ads (Matangazo)
 
Back
Top Bottom