Biashara ya pool table

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,526
Habarii wadauu natumaini mko poa.

Nimeandika kwa haraka ila nita edit baadae.

Hivi karibuni kuna mtu aliniulizaa kuhusu biashara ya pool table akaanza kunielezea ila kiukwelii nilikuwa sijuii kiundani.

Ila ningependa kujua jinsi pool table inaweza fanya ukaishi kwa faida.

Bei? Bei ya pooltable zima.

Usajili wake? Mfano lazima uwe na leseni.

Faida kwa week?

Hasara zake.

Kama unajua kiundani kabisaa nitashukuru.
 
Ni miongoni mwa vimitego vyangu inasaidia vipesa vya kula na vocha havipigi chenga, nimempa mtu ananipa elfu 9 Kila siku amekodi yaani nae pia inamlipa Haina hasara changamoto ni site tu ukiotea site hesabu ya 30 haisumbui kuhusu kibali inategemea na uongozi unaokuzunguka binafsi huu ni mwaka wa 9 sijawahi kukata kibali.
 
Na bei ya pool table ni kiasi gani.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…