hp sitaki ata kumsikiaAsante kwa ushauri, Dah hii mashine najiulizaga kila siku wino mbona hauishi tu 😂😂
kwa kopi hizo 6,500 za rangi na 13,000 black and white wacha watu wale maisha.
Wino sio changamoto asante kwa bei rafiki ya buku 3 hadi 5 kwa kachupa ka wino, Ni gharama karibu na sifuri kuihudumia hii mashine ukilinganisha na faida utayopata endapo utaitumia kwenye biashara,
Pia kwa wenye bajeti finyu kuna huyu mjuba nae yupo fresh tu. nmechukua picha kutoka duka la "discount kubwa" lipo kariakoo
View attachment 1641707
Mkuu weka picha ka printer 🖨️ tuionee...Wakuu wajasiliamali mambo ni vipi? Tukiendelea na hustles za kila siku leo nmekuja na hii.,,
Nimebahatika kupata printer mpya kabisaa buree brand ni EPSON L850 ina uwezo wa kuprint coloured, photo, kuscan na kutoa copy.
Sasa nikakumbuka na dogo langu ana goli karibu na chuo huko mkoani nataka ipeleka ikapige kazi kuliko niuze bora nizalishie.
Kwa wataalam wa hii biashara naombeni msaada na maelezo juu ya hii plan yangu. Bei elekezi na vifaa vyake kama wino nk.
Pia inatumia network (internet)
Alikufanyaje mkuu?? Tueleze kidogohp sitaki ata kumsikia
Anakula wino balaa aseeeeAlikufanyaje mkuu?? Tueleze kidogo